Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Baada ya serikali kupitia polisi kuamua kufumbia macho kesi ya shambulio la kukusudia kumuua Lissu na majuzi kufunga rasmi mjadala huo kwa kumrudishia kielelezo cha kesi (evidence) ghafla jambo hilo limechukua sura mpya.
Gari hilo lililosheheni matundu ya risasi zilizokusudia kuondoa uhai wa Lissu limekabidhiwa kwa wazee wa kimila nao wamepiga dua zao.
Wajuzi wa mambo ya asili waliofuatilia tukio hilo wanasema wahusika na hata waliojua mpango huo na kunyamaza ni vyema wakajitokeza sasa kabla ya dhahma hazijaanza kuwaangukia ambapo watatamani bora hata wangekuwa polisi ndio wamewakamata.
Wakati ni sasa bora hata wajitokeze kuliko kusubiri yajayo, kwanza Lissu ni mnyenyekevu wakitubu atawasamehe.