Tambiko la Wanyaturu kwa gari la Lissu, wahusika bora wajitokeze

Kama kuna anayemfahamu yeyote aliyehusika mwambieni muda unaisha, ajitokeze apige goti na kukiri kwa ulimi wake haraka
Hivi umegungua jambo hili kuwa, tokea Lissu apeleke lile gari lililoshambuliwa kwa marisasi kwa wale wazee kwao hujamsikia tukio lile alirudierudie kujieleza tena?
Kanyamazishwa na wazee kuwa sie wazee wako tumeona mwenetu uliyopitia na kulala kwa maumivu miezi kadhaa kitandani. Pia umetuonyesha mwili wako ulivyoharibiwa kwa risasi na upasuaji basi usilie tena TUACHIE TUMLILIE MUNGU.
Nakuambia wataisha, tena kwa maumivu makali sana vitandani kama hawatajitaja na kutubu
 
Hatari!
 
Back
Top Bottom