Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Wafanye tu tambiko lao, aliyehusika moja kwa moja afe, waliyejua jambo hilo wakakaa kimya wafe!,.... 😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya serikali kupitia polisi kuamua kufumbia macho kesi ya shambulio la kukusudia kumuua Lissu na majuzi kufunga rasmi mjadala huo kwa kumrudishia kielelezo cha kesi (evidence) ghafla jambo hilo limechukua sura mpya.
Gari hilo lililosheheni matundu ya risasi zilizokusudia kuondoa uhai wa Lissu limekabidhiwa kwa wazee wa kimila nao wamepiga dua zao.
Wajuzi wa mambo ya asili waliofuatilia tukio hilo wanasema wahusika na hata waliojua mpango huo na kunyamaza ni vyema wakajitokeza sasa kabla ya dhahma hazijaanza kuwaangukia ambapo watatamani bora hata wangekuwa polisi ndio wamewakamata.
Wakati ni sasa bora hata wajitokeze kuliko kusubiri yajayo, kwanza Lissu ni mnyenyekevu wakitubu atawasamehe.
Asilimia kubwa ni washirikina ndio maana wanawaza hayoKweli lile tukio ni la kinyama ila kama haki imeshindikana kupatikana kupitia vyombo vya dola tunyooshe mikono basi, haya mambo mengine sio.
Tambiko? Excuse me!
Na kitaumana kweli mila bado zipo ndugu zanguBaada ya serikali kupitia polisi kuamua kufumbia macho kesi ya shambulio la kukusudia kumuua Lissu na majuzi kufunga rasmi mjadala huo kwa kumrudishia kielelezo cha kesi (evidence) ghafla jambo hilo limechukua sura mpya.
Gari hilo lililosheheni matundu ya risasi zilizokusudia kuondoa uhai wa Lissu limekabidhiwa kwa wazee wa kimila nao wamepiga dua zao.
Wajuzi wa mambo ya asili waliofuatilia tukio hilo wanasema wahusika na hata waliojua mpango huo na kunyamaza ni vyema wakajitokeza sasa kabla ya dhahma hazijaanza kuwaangukia ambapo watatamani bora hata wangekuwa polisi ndio wamewakamata.
Wakati ni sasa bora hata wajitokeze kuliko kusubiri yajayo, kwanza Lissu ni mnyenyekevu wakitubu atawasamehe.
Mtu mweusi alishafeli muda mrefu. Yes si msomi na wakilimkubwa kwa nini asipambane kwenye vyombo vya sheria..?Mambo ya matambiko ni uboya na utumwa wa kifala sana.
Hili jambo naona bado halieleweki. Tambiko sio ushirikina hata kidogo maana huwa linafanywa kwa maombi ya Mila zenu na uwazi mtupu.CCM ni wazuri sn upande wa ushirikina
Mkuu kama ulijua au kushiriki ,anza Gawa mali taratibu ,kimbunga chajaKweli lile tukio ni la kinyama ila kama haki imeshindikana kupatikana kupitia vyombo vya dola tunyooshe mikono basi, haya mambo mengine sio.
Tambiko? Excuse me!
Mkwara 🐼
Kuna yule shehe wa mkoa aliwatishaga akina Mwaka na bint Kimambi lakini wanadunda tu 😂😂
Mila hata wenzetu kwa walioendelea wanatumia , mali za mjerumani huwa hazichukuliwi hovyo ila watoto na wajukuu zao waliozizindika wakifika site huzichukua kilain sana , so haya mambo sio ya mweusi tuM
Mtu mweusi alishafeli muda mrefu. Yes si msomi na wakilimkubwa kwa nini asipambane kwenye vyombo vya sheria..?
Watakufa midomo wazi uku mtu anashangaa marehemu hana kalio moja na kila kiungo hakina ushirikianoKwamba wataamka makalio yamehamia kichwani ama?
Tambiko hajafanya yeye, ungetumia akili kidogo na kuweka chuki zako pembeni.M
Mtu mweusi alishafeli muda mrefu. Yes si msomi na wakilimkubwa kwa nini asipambane kwenye vyombo vya sheria..?
Ulozi ni Dawa ya watu wabishi, una mumeo kila siku unamwambia Baba D usichepuke siku nikigundua nitakufanya kitu mbaya anakua Mbishi unaenda kwa Mtaalamu akuangalizie anakuonyesha kwamba Baba D mtaa wa Pili hapo ana kimada na anakikamua Mwaka wa Pili huu wewe haujui anakupa Dawa uende anakwambia akienda hii Mara ya Mwisho lazima anase kweli unaenda kesho yake unapigiwa Simu toka mtaa wa Pili ukamuone Baba D kagandana na Fatuma Mitako, ulozi una faida kwa watu wabishiKweli lile tukio ni la kinyama ila kama haki imeshindikana kupatikana kupitia vyombo vya dola tunyooshe mikono basi, haya mambo mengine sio.
Tambiko? Excuse me!
Aisee kuna jambo nimeelewa , kweli wazee wana akili na wapo na jambo lao ni kweli dam za Lissu zilimwagika mle ,lazima kiumane mda mwalimTambiko hajafanya yeye, ungetumia akili kidogo na kuweka chuki zako pembeni.
Waliofanya tambiko ni wazee wa kabila lake kumuomba Mungu wao atende haki ukizingatia DAMU ILIMWAGIKA PENYE TUKIO HILO.
Ukiwa bora huwezi elewa huku ukidhani unaelewa
wameamua kujiingiza mazima kwenye masuala ya uchawi na ushirikina, baada ya maombi, ibada na misa nyingi sana za shukrani?🐒Baada ya serikali kupitia polisi kuamua kufumbia macho kesi ya shambulio la kukusudia kumuua Lissu na majuzi kufunga rasmi mjadala huo kwa kumrudishia kielelezo cha kesi (evidence) ghafla jambo hilo limechukua sura mpya.
Gari hilo lililosheheni matundu ya risasi zilizokusudia kuondoa uhai wa Lissu limekabidhiwa kwa wazee wa kimila nao wamepiga dua zao.
Wajuzi wa mambo ya asili waliofuatilia tukio hilo wanasema wahusika na hata waliojua mpango huo na kunyamaza ni vyema wakajitokeza sasa kabla ya dhahma hazijaanza kuwaangukia ambapo watatamani bora hata wangekuwa polisi ndio wamewakamata.
Wakati ni sasa bora hata wajitokeze kuliko kusubiri yajayo, kwanza Lissu ni mnyenyekevu wakitubu atawasamehe.
haya mambo yapo boss wangu kama huamini kisasi ktk nguvu za asili yanafanya kazi tena wanapukutika kbs... Sema kwa sasa matapeli ni wengi ila ukimkuta mkali wa hizi kazi mchezo anaucheza na matokeo chanya yanapatikana chapu tu... Sema hawa nao wafanya matukio kama hayo wanakuwa wamejithatiti kiaina kwahiyo nao hawapo kiuwepesi wepesiMambo ya matambiko ni uboya na utumwa wa kifala sana.