Tambua wakati mzuri wa kutafuta mwanamke wa maisha!

Walikujua bila wewe kujijua
 
Kipindi cha shida ndio wakati muafaka wa kumtambua mtu mwenye mapenzi ya dhati kwako. Hata ukitaka kujua marafiki wa kweli ni wakati wa shida!!
Kweli kabisa ndugu...

Hata marafiki hukukimbia... na kukusema vibaya mno
 
Tatizo wanaume tukiwapenda katika nyakati za shida mnajiona wa maana sana na kutudharau kwamba tuko cheap, baadae mnaona hatuna hadhi... apandacho mtu ndicho atakachovuna
Tupe ushahidi wa ukisemacho,imeshawahi kukutokea?
 
Tatizo wanaume tukiwapenda katika nyakati za shida mnajiona wa maana sana na kutudharau kwamba tuko cheap, baadae mnaona hatuna hadhi... apandacho mtu ndicho atakachovuna
Tupe ushahidi wa ukisemacho,imeshawahi kukutokea?
 
Tupe ushahidi wa ukisemacho,imeshawahi kukutokea?
Nina ushahidi, sio mimi tu nina ndugu zangu waliotokewa na hayo. Nina binamu yangu alikuwa mwanaume six years msoto wa kutafuta kazi baada ya kumaliza chuo huyu dada alikuwa anatumia mshahara wake wa ualimu kwa kila kitu cha huyu mwanaume anajibana waishi... yule bwana alipopata kazi mji mwingine alikata mawasiliano na baadae kutamkia ndugu yangu hamtaki sio wa hadhi yake yeye.
Pia nina ndugu mwingine alipokutana na mumewe walikuwa masikini mwanamke akawa mhangaikaji mpaka akatafuta kazi nje ya nchi akamtafutia na mumewe akaenda, wakapata pesa nyingi wakawekeza kwa kujenga shule waliporudi hela zikiwa nyingi mwanaume alimfukuza na watoto wake na kudai vyote ni vyake na kuwaaminisha ndugu zake mali zote zake.ubaya katika kutumbua mali na wanawake akapata maradhi ya kisasa akafariki na ndugu wakawa wanataka waingilie zile mali wasijue mwanzilishi wa zile mali sio ndugu yao
 
Mbona una Generalize wanaume wote?,umefanya Research kwa wanaume wangapi?,kama una roho nzuri huwezi kuacha kuwatendea watu wema kwa sababu kuna watu wengine wanakutendea mabaya,jitathimini juu ya msimamo wako!
 
Sawa mkuu!
 
Wapo lakini wengi wao ni polygon kwa hali ya sasa watoto wazuri utaishia kuwaita shemeji na ukizifuma yule aliyekuvumilia utamuona km Mzee na jinsi mlivyo wanaume ukiwa vizuri kiuchumi basi hata kula utataka ule vilivyonona ni hayo tu
Ok,tunaomba Reference ya wanaume unaowajua walio waacha wake zao baada ya kufanikiwa!au ni imani tu uliyojiwekea kichwani?
 
Mwanamke anaweza akakupenda ukiwa hauna kitu ikiwa yeye hajapendwa au hajapata wenye kitu..hamna binaadamu anayependa vitu vibaya
Kweli wengi wapo hivyo!
 
Je iliwahi kukutokea?,na je ukiolewa na mwenye mafanikio huwezi kupata stress?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…