Tambua wakati mzuri wa kutafuta mwanamke wa maisha!

Tatizo sisi wanaume tukimpata mwanamke anaetukubali kipindi hatuna kitu, tukifanikiwa huwa hatuwathamini tena, tunatafuta wengine tofauti na hawa tuliokua nao
Out of topic mkuu..chek pm yko
 

Sio wote mama
 
Hahaha....hivi kumbe kuna wanaume wanafanyiwa yote hayo....
 
Hili mimi nalipinga wanaume tumekuwa tunawakumbuka sana wanawake tuliosota nao ukitaka uthibitisho zaidi fatilia wake wengi wa wanaume waliofanikiwa ni wakawida na wabaya ndo mama wa nyumba
lakini hilo la kusema tukishafanikiwa tunakuwa na michepuko
kwani hao uliowakuta wanamafanikio hawana michepuko
 
Naunga mkono hoja yako
 
Duh! Pole sana ila huyo manzi hana msimamo, utakubalije kumuacha uliyempenda na kuhangaika nae kutengeneza future yenu kwa ajili ya mchumba uliyetafutiwa na familia?? Nahisi alipatwa na tamaa tu ndo maana kakuacha
 
Uko juu kwa juu nitakuwa nshakutana na wengine. ..[emoji1] [emoji12] [emoji12]
 
tatizo lenu hamjipendi mkishazaa tuu mnajiachia kila mnanuka maziwa,mikojo ya watoto nk, alafu mnapunguza mapenzi kwetu mnahamishia Kwa mtoto na sisi inakuwa ni wakati wetu kutafuta faraja.jipendeni bhanaa tupenda wanawake wasafi acheni mambo ya kisengerema basi.
 
Daaah mada nimeipenda ila mie nilikutana na m'mke niliye ishi nae kwa kitambo kiasi, nikampeleka baada ya kupata vihela but alivyo badilika ikawa ni shida, pesa yangu haikuwa na thamani eti maana ni ndogo total aliwapenda wenye nyingi.So, sio eti ukiwa kapuku ndo utakutana na mtu sahihi lahashaaa......hii mambo zaidi ni kumuomba Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…