Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakika mkuuUkiona binti hakupendi kwa sababu in maskini huyo hafai, maana inaonesha ana tamaa ya mali tu wala hana upendo kwako.
Naanza na wewe kuna Mwanaume Ulishawahi Kumuhangaikia Hivo?Sio zama hz aisee, unamkubali mwanaume hana kitu, unamsaport kwa kila hali, hela za nauli za kwenda kwny interview unamtafutia hata kwa kukopa, unamsaidia kutafuta matangazo ya kazi, kuaply, kusaka vibarua huku na huku, lkn akishainuka na kupata ajira na hela basi wewe unaonekana screpa!!! Anaanza kushoboka na wavaa mawigi wanaojua kujichubua na kutumia hela wasizozitafuta!!!! Mwisho wa siku anakubwaga kweupe na kashfa juu ati wewe sio hadhi yangu...wasengerema kweli hawa viumbe.
povu mubashara, pole banaSio zama hz aisee, unamkubali mwanaume hana kitu, unamsaport kwa kila hali, hela za nauli za kwenda kwny interview unamtafutia hata kwa kukopa, unamsaidia kutafuta matangazo ya kazi, kuaply, kusaka vibarua huku na huku, lkn akishainuka na kupata ajira na hela basi wewe unaonekana screpa!!! Anaanza kushoboka na wavaa mawigi wanaojua kujichubua na kutumia hela wasizozitafuta!!!! Mwisho wa siku anakubwaga kweupe na kashfa juu ati wewe sio hadhi yangu...wasengerema kweli hawa viumbe.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] haka ka mchezo bhana. Yaani unayempenda hakupendi & vice versaKiukweli mwanamke anaekupenda na kukuthamini ukiwa huna kitu hasa ktk hii hali ya vyuma kukaza nindio chaguo bora tatizo linakuja wewe unamuona kimuonekano hakuvutii sasa hapo ndo unapofeli.
Sio kweliTatizo wanaume tukiwapenda katika nyakati za shida mnajiona wa maana sana na kutudharau kwamba tuko cheap, baadae mnaona hatuna hadhi... apandacho mtu ndicho atakachovuna
Ha ha Sina uhakika na hilo[emoji28]Sio zama hz aisee, unamkubali mwanaume hana kitu, unamsaport kwa kila hali, hela za nauli za kwenda kwny interview unamtafutia hata kwa kukopa, unamsaidia kutafuta matangazo ya kazi, kuaply, kusaka vibarua huku na huku, lkn akishainuka na kupata ajira na hela basi wewe unaonekana screpa!!! Anaanza kushoboka na wavaa mawigi wanaojua kujichubua na kutumia hela wasizozitafuta!!!! Mwisho wa siku anakubwaga kweupe na kashfa juu ati wewe sio hadhi yangu...wasengerema kweli hawa viumbe.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Tumestuka, tukiwapenda mkiwa hamna kitu mkipata mnatudharau na kwenda kutafuta mnaoona wanawafaa. Hivyo basi mtafute kwanza mkizipata ndio muoe. Adamu alikuwa na kila kitu ndio Eva akafuata.
Kuna ka ukweli fulani hapaMwanamke anaweza akakupenda ukiwa hauna kitu ikiwa yeye hajapendwa au hajapata wenye kitu..hamna binaadamu anayependa vitu vibaya
Inaonyesha yashawah kukukutaSio zama hz aisee, unamkubali mwanaume hana kitu, unamsaport kwa kila hali, hela za nauli za kwenda kwny interview unamtafutia hata kwa kukopa, unamsaidia kutafuta matangazo ya kazi, kuaply, kusaka vibarua huku na huku, lkn akishainuka na kupata ajira na hela basi wewe unaonekana screpa!!! Anaanza kushoboka na wavaa mawigi wanaojua kujichubua na kutumia hela wasizozitafuta!!!! Mwisho wa siku anakubwaga kweupe na kashfa juu ati wewe sio hadhi yangu...wasengerema kweli hawa viumbe.
Tumeona live hayo mamboSio kweli
Huyo mwanaume naye ni poyoyo.Tumeona live hayo mambo
Naongea kutokana na niliyoshuhudia mkuuHa ha Sina uhakika na hilo[emoji28]
Ndio na alipokuja kupata kazi, mshahara mzuri akaniona sifai,Naanza na wewe kuna Mwanaume Ulishawahi Kumuhangaikia Hivo?