Tambua yaliyoandaliwa na wazungu miaka 2000+ ijayo

Tambua yaliyoandaliwa na wazungu miaka 2000+ ijayo

Heri lee

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
981
Reaction score
537
Habari vipi wadau

Jarida moja la Times nimelisoma wiki iliopita nimejionea mambo amabayo wazungu hasa USA NA CANADA mambo waliyoandaa kufanyika miaka 2000 ijayo nimependa nileta humu na nyie muweze ku share idea zenu kama itakuwa kuwa powa mtachangia kama kuna uwezekano wa mambo hayo
2019-UTAFITI WA MWISHO JUU YA UHAI SAYARI YA MARS
2020-SIMU ZA KISASA ZAIDI ZENYE KUFANYA KAZI KWA MFUMO WA HOLOGRAPHIC SCREEN
2025-VIUNGO VYA BINADAMU VYA KILA AINA HAPATA KUWA NA VILEMA TENA DUNIANI
2050-MAISHA KUANZA SAYARI YA MARS
2060-COMPUTER CONNECT WITH BRAIN
2080-KOLONI LA KWANZA KUANZA SAYARI YA MARS (NAULI SIJUI ITAKUWAJE WAKATI HUO) WATAPAMBANA NA HALI YAO
2100-KUTOKANA NA MAFUTA BAADHI YA SAYARI KUTAJENGWA BOMBA HADI SAYARI YA DUNIA
2300-KUFIKIA SAYARI YA KLEPER ILIYOMBALI SANA KUTOKA DUNIANI NI MABILION YA KM HATA UKITUMIA LIGHT SPEED NI MABILION YA MIAKA WAKATI HUO WATAFIKA NA SIKU KADHAA
2390-MAWASILIANO KATI YA WATU WA DUNIANI NA WANAOISHI MARS KUFUNGWA
2500 -KUFIKA KWENYE JUA NA KULIFANYIA UTAFITI
2900-BINADAMU KUONGEZA UMRI WA KUISHA KUTOKA MIAKA 78-300
3000+ -KUFIKIA SAYARI ZOTE KWENYE MIFUMO YOTE ILIOYO POPOTE PALE NA KUFABYA MAKAZI HUMO
3500-BAADHI YA MIJI DUNIANI KUHAMIA SAYARI NYINGINE NA KUBAKI HUMO

NIMEBAATIKA HAYO TU ILA YAKO MENGI SANA NIKIPATA MUDA NITAYALETA HUMU MAANA HADI YA MIAKA 5000 IJAYO ASANTE SANA
 
Vipi kuhusu dawa za ukimwi. Kansa kupunguza uchafu wa mazingira? Ozone layer si imetoboka hawana mpango wa kuiziba ? Na kemikali zilizojirundika chini ya bahari ? Kuna mengi ya kufanya xaidi ya hayo waliofikiria mi sijaona cha maana labda ubongo kuuconect na kompyuta
 
Kuna vitu nimeshindwa kuviamini..naomba link nisome mwenyewe..mfano;
1.kujenga bomba la mafuta kutoka sayari moja mpk nyingine[emoji23][emoji23][emoji23]
2.kufungwa kati ya mawasiliano ya watu wa dunia na mars..WHY!???!

Nipe link mkuu niondoe doubt
 
Tanzania tuna malengo tulojiwekea kwa miaka 50 ijayo pia:
1. Ugonjwa wa malaria ukawekwe makumbusho.
2. Barabara za lami hadi chumbani.
3. Elimu kabla hujazaliwa ianze.
4. Ajali zipungue 0.00001%
5. Uhalifu ubaki wa chumbani tu.
6. Masikini zaidi amiliki toyota carina 2019
7. CCM ibaki madaraka
 
😀😀😀 mwaka 3000, kabla ya mwaka 2500 itatokea vita ya nuclear au explosion ambayo binadamu hatoweza kucontrol, na huo ndo utakuwa mwisho wa mataifa makubwa kama US, sehem ndogo sana ya dunia itabaki ambayo pia itakuwa unproductive, 95% ya viumbe vya dunia vitatoweka. Vitazaliwa aina mpya ya viumbe ambavyo vitatokana na chemical reaction itakayobakia baada ya explosion.
[HASHTAG]#nabii[/HASHTAG] mim
 
#2060#
Kutatokea tukio kubwa ambalo Ulimwengu wote utabadilika

#Na huo ndio utakuwa mwisho wa Ulimwengu huu uliopo#
 
Wanapanga yote lakini wamesahau kitu inaitwa 'THE LAW OF LIMITS and REVELATION'
 
Vipi kuhusu dawa za ukimwi. Kansa kupunguza uchafu wa mazingira? Ozone layer si imetoboka hawana mpango wa kuiziba ? Na kemikali zilizojirundika chini ya bahari ? Kuna mengi ya kufanya xaidi ya hayo waliofikiria mi sijaona cha maana labda ubongo kuuconect na kompyuta
Wazungu wenye akili hawawazi ukimwi kabisa aise. Wangekuwa wanauwaza huo ugonjwa ungekuwaga ushafutika kitambo!
 
Nimewahi kuona video ya makadirio ya maisha mwaka 2050
So poa lakini pia mwezini itakuwa ni sehemu ya utalii watu watakuwa wanaenda mwezini kutalii
 
Back
Top Bottom