Tambua yaliyoandaliwa na wazungu miaka 2000+ ijayo

Tambua yaliyoandaliwa na wazungu miaka 2000+ ijayo

Miaka yote hiyo mwenye kizazi atakuwa amekiangamiza kwanza kina maovu mengi huko mbali hakiacha kitimize hayo
 
😀😀😀 mwaka 3000, kabla ya mwaka 2500 itatokea vita ya nuclear au explosion ambayo binadamu hatoweza kucontrol, na huo ndo utakuwa mwisho wa mataifa makubwa kama US, sehem ndogo sana ya dunia itabaki ambayo pia itakuwa unproductive, 95% ya viumbe vya dunia vitatoweka. Vitazaliwa aina mpya ya viumbe ambavyo vitatokana na chemical reaction itakayobakia baada ya explosion.
[HASHTAG]#nabii[/HASHTAG] mim
Duh
 
Sawa wapange hayo wakimaliza wajue na Mungu pia ako na mipango yake madhubuti tena isiyo na shaka wala doa
Wanataka tuamini kuwa wao ndio Mungu, wanasahau kuwa Mungu hajaribiwi na mipango ya Mungu lazima itimie kwa wakati alio panga
 
2500 kichwa kubwa mimi sintokuepo duniani[emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
Back
Top Bottom