Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
Yanasogea mbele!..We ukipanga kesho uwe na akiba elfu 20 usipoipata si mpango utaisogeza kesho kubwa!?.[emoji23]😉Hayo malengo si yalikiwa 1961 bado tu hayajatimia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanasogea mbele!..We ukipanga kesho uwe na akiba elfu 20 usipoipata si mpango utaisogeza kesho kubwa!?.[emoji23]😉Hayo malengo si yalikiwa 1961 bado tu hayajatimia
="Alex Ngaweje, post: 25480315, member: 316877"]Vipi kuhusu dawa za ukimwi. Kansa kupunguza uchafu wa mazingira? Ozone layer si imetoboka hawana mpango wa kuiziba ? Na kemikali zilizojirundika chini ya bahari ? Kuna mengi ya kufanya xaidi ya hayo waliofikiria mi sijaona cha maana labda ubongo kuuconect na kompyuta
8.Kila shule iwe na matundu ya vyoo ya kutosha.Tanzania tuna malengo tulojiwekea kwa miaka 50 ijayo pia:
1. Ugonjwa wa malaria ukawekwe makumbusho.
2. Barabara za lami hadi chumbani.
3. Elimu kabla hujazaliwa ianze.
4. Ajali zipungue 0.00001%
5. Uhalifu ubaki wa chumbani tu.
6. Masikini zaidi amiliki toyota carina 2019
7. CCM ibaki madaraka
9. Wanafunzi ruksa kuvaa nguo wanazotaka.8.Kila shule iwe na matundu ya vyoo ya kutosha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Umesahau mwanadamu kuwa na jinsia mbili
Mkuu, we unazungumzia mambo ya sasa hivi yaani ume base kwenye current technology wakati wenzio wanazungumzia miaka 1000 ijayo. Jaribu tu kufikiria miaka 100 iliopita kutoka Tanzania kwenda just Kenya tu ulikua unachukua muda gani? What about from bongo to USA ilikuaje na sasa hivi hali ikoje? Time ni factor hapo; wenzetu wanafanikiwa kwasababu ya kujiwekea malengo ya muda mrefu na mfupi; kwetu huku sisi malengo yetu ni kuingia madarakani tu. Again, wapanga hiyo mipango wote by that time hawatakuwepo hapa duniani, wote watakua wamekufa but tofauti ya wenzetu hawa weupe na sisi ni kujaribu kufikiria pia kizazi chao kitaishije baada ya wao.Hili swala la kusema waende huenda Kama sayari ya Jupiter kwa siku mbili au moja ni uongo, iko billion of km, na bado hata kutengeneza chombo chenye spidi ya mwanga hatujaweza.., likiwezekana hili tu suala la kuongeza umri wa kushi litawezekana kwa sababu kama mtu atakuwa na uwezo wa kusafiri spidi ya mwanga basi umri wake unaongezeka....
Tumalize kununua madiwani wa ChademaNgoja sisi tupambane na elimu kwanza
Ha ha ha ha......Vipi wenger bado tutakua nae Arsenal?
Hivi viwanda vya pedi viongeze utengenezaji wa pediNimewahi kuona video ya makadirio ya maisha mwaka 2050
So poa lakini pia mwezini itakuwa ni sehemu ya utalii watu watakuwa wanaenda mwezini kutalii