Tambua yaliyoandaliwa na wazungu miaka 2000+ ijayo

Baadhi ya mipango yao aitafanikiwa, Sio kila analopanga mzungu lazima litimie.

Sometimes wazungu wanakuwa na Mawazo ya Kusadikika.
Ni bora wao hata wanawaza hayo, wew na mm tumellala usingizi wa pono.. hata hyo kesho itakuchaje hujui..
 
Naona kwenye ccm kubaki madaraka ndio mtafanikiwa.. Mengine labda tukapige ramli kwanza, maana ni zaidi ya njozi za Al-nacha
 
Kuna vitu nimeshindwa kuviamini..naomba link nisome mwenyewe..mfano;
1.kujenga bomba la mafuta kutoka sayari moja mpk nyingine[emoji23][emoji23][emoji23]
2.kufungwa kati ya mawasiliano ya watu wa dunia na mars..WHY!???!

Nipe link mkuu niondoe doubt
hapo mimi mwenyewe nimeishiwa nguvu ..mkuu
 
kuna mipango ni ngumu sn kufanikiwa hasa7
 
Shannara..!?
 
Unaundugu na nabii titto..?
 
Hili swala la kusema waende huenda Kama sayari ya Jupiter kwa siku mbili au moja ni uongo, iko billion of km, na bado hata kutengeneza chombo chenye spidi ya mwanga hatujaweza.., likiwezekana hili tu suala la kuongeza umri wa kushi litawezekana kwa sababu kama mtu atakuwa na uwezo wa kusafiri spidi ya mwanga basi umri wake unaongezeka....
 
Elon Musk qa SpaceX atapeleka watu Mars mwaka 2020 na mashine tayari zipo
 
Naona kwenye ccm kubaki madaraka ndio mtafanikiwa.. Mengine labda tukapige ramli kwanza, maana ni zaidi ya njozi za Al-nacha
Hutaamini ikifika 2050 lami zipo kila sehemu, mtoto ako anazaliwa kashafundishwa
 
hio ya 2060 Mbona washaanza mapema sana kwa kutuingizia akili tuipendayo kwa njia ya computer hadi huku uzi ulishaletwa
 
Mbona walishaanza karne za nyuma sana wakafanikiwa kwa mfano kutuletea Dini na kutuaminisha kwamba mambo hayo yalikuwepo kabla

Hiyo ilkuwa akili ya mtu mmoja alikaa akawaza akawazua ili Dunia iwe no mahali salama pa maisha ya binadam na wamefanikiwa!!
 
Cheki series moja inaitwa Expanse. Inaelezea hali ya kisiasa na kiuchumi kama bindamu akiishi Mars
 
Hayo malengo si yalikiwa 1961 bado tu hayajatimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…