Tambua yaliyoandaliwa na wazungu miaka 2000+ ijayo

Hayo malengo si yalikiwa 1961 bado tu hayajatimia
Yanasogea mbele!..We ukipanga kesho uwe na akiba elfu 20 usipoipata si mpango utaisogeza kesho kubwa!?.[emoji23]😉
 
hyo mwaka 3000 ni kikomo,maana dunia ilivyo sasa sjui baada ya miaka mia itakuaje,
 
Waache Kufanya mambo ya maana wahangaike na ukimwi, Kakwambia nani Wazungu wanasumbuliwa na ukimwi. Ukimwi unasababiswa na povert na ignorance, sasa Wao hawapo huko tena, futeni ujinga, ongezeni Vipato, Tokomezeni magonjwa
 
8.Kila shule iwe na matundu ya vyoo ya kutosha.
 
Mzungu akihamia mars...hakuna takataka itakayoachwa kutupwa third world countries!

Mtoto anazaliwa, pua iko takoni...
 
Lengo zuri ilitakiwa miaka ya mbele tulenge kutokua na vita. Maendeleo ya watu. Kumaliza umaskini kwa kujenga uchumi shirikishi na kumaliza tatizo la urangi duniani. Mwalim aliona Mbali alisema maendeleo ya kweli ni ya watu sio vitu.
 
Hizo ndizo dalili za kwanza za Mwisho wa Dunia.................!!! Maarifa ya Mwanadamu Kuongezeka...........!!!
 
Mkuu, we unazungumzia mambo ya sasa hivi yaani ume base kwenye current technology wakati wenzio wanazungumzia miaka 1000 ijayo. Jaribu tu kufikiria miaka 100 iliopita kutoka Tanzania kwenda just Kenya tu ulikua unachukua muda gani? What about from bongo to USA ilikuaje na sasa hivi hali ikoje? Time ni factor hapo; wenzetu wanafanikiwa kwasababu ya kujiwekea malengo ya muda mrefu na mfupi; kwetu huku sisi malengo yetu ni kuingia madarakani tu. Again, wapanga hiyo mipango wote by that time hawatakuwepo hapa duniani, wote watakua wamekufa but tofauti ya wenzetu hawa weupe na sisi ni kujaribu kufikiria pia kizazi chao kitaishije baada ya wao.
 
Nimewahi kuona video ya makadirio ya maisha mwaka 2050
So poa lakini pia mwezini itakuwa ni sehemu ya utalii watu watakuwa wanaenda mwezini kutalii
Hivi viwanda vya pedi viongeze utengenezaji wa pedi
Maana kama watuwote tutaanza kwenda mwezini.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…