Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani hata milioni mbili hatujafika ? Kwahio unadhani ni malaki yapo tisa yaani sio hata malaki kumi na moja ?Ni malaki mkuu kwenye mamilioni hatujafika bado
Ushauri sahihiKumbuka Magu alipotangaza ajiza za walimu elf13 waliomba watu zaidi ya laki2 wenye sifa na wako kwenye kanzidata,wakatoa ajira elf7 kwamba wataongeza wengine kufikia elf13,nafikri ndo hiyo elf6 aliyosema mama hivyo hiyo namba wataichomoa tu pale kwa uelewa wangu watu watajulishwa kwa simu na kupitia tovuti ya ajira na tamisemi
Wanaanza ndugu zao, wanafuatia wenye vishoka a.k.a connection ndipo zinakuja za sandakarawe za kina sie na hii yote imesababishwa na hayati magufuli kutoa ajira kiduchu ingali waombaji ni wengiHapo hata wakifuata mfumo, tegemea ndugu kwanza wengine wanafuata.!!
Ok..Nilidhani unazungumzia kada ya ualimu peke yake sikujua kama una maanisha tatizo la ajira in generalyaani hata milioni mbili hatujafika ? Kwahio unadhani ni malaki yapo tisa yaani sio hata malaki kumi na moja ?
Kumbuka sio wahitimu tu wanaotaka ajira..., yoyote mwenye mdomo anayehitaji kula anahitaji ajira (hata wale wa between 18 - 25 ambao unawapa watoto wako waku-lele wakati wewe unapiga issue zao ili hivyo vijisenti wawatumie wazazi wao vijijini nao wanahitaji ajira.
Kuna kosa liliwahi kufanyika na linaendelea kukua zaidiUna maana gani mkuu
Mkuu sina woga ndiyo maana nipo very open.Acha tu nikuelewe hivo hivo ila nxt tym unapokuja kujibu hoja za kufichua uovu tumia fyekelo la pembeni naona hii verified ID yako inakupa shida kufunguka ukweli
Hahaaaa ,Hivi nikiita waandishi wa habari mimi mwananchi wa kawaida watakuja ili nizungumzie hili swala itawezekana