TAMISEMI: Acheni kuajiri kimya kimya, mchakato wa ajira 6000 za walimu ufanyike kwa uwazi

Ni malaki mkuu kwenye mamilioni hatujafika bado
yaani hata milioni mbili hatujafika ? Kwahio unadhani ni malaki yapo tisa yaani sio hata malaki kumi na moja ?

Kumbuka sio wahitimu tu wanaotaka ajira..., yoyote mwenye mdomo anayehitaji kula anahitaji ajira (hata wale wa between 18 - 25 ambao unawapa watoto wako waku-lele wakati wewe unapiga issue zao ili hivyo vijisenti wawatumie wazazi wao vijijini nao wanahitaji ajira.
 
Hapo hata wakifuata mfumo, tegemea ndugu kwanza wengine wanafuata.!!
 
Ushauri sahihi
 
Hapo hata wakifuata mfumo, tegemea ndugu kwanza wengine wanafuata.!!
Wanaanza ndugu zao, wanafuatia wenye vishoka a.k.a connection ndipo zinakuja za sandakarawe za kina sie na hii yote imesababishwa na hayati magufuli kutoa ajira kiduchu ingali waombaji ni wengi
 
Ok..Nilidhani unazungumzia kada ya ualimu peke yake sikujua kama una maanisha tatizo la ajira in general
 
Kwa nini wewe unataka uwazi TAMUSEMI?..hapo hapo ndiyo nakazia
 
Kwa nini wewe unataka uwazi TAMUSEMI?..hapo hapo ndiyo nakazia
Acha tu nikuelewe hivo hivo ila nxt tym unapokuja kujibu hoja za kufichua uovu tumia fyekelo la pembeni naona hii verified ID yako inakupa shida kufunguka ukweli
 
Acha tu nikuelewe hivo hivo ila nxt tym unapokuja kujibu hoja za kufichua uovu tumia fyekelo la pembeni naona hii verified ID yako inakupa shida kufunguka ukweli
Mkuu sina woga ndiyo maana nipo very open.
Ha..ha..haa...
 
Mkuu sina woga ndiyo maana nipo very open.
Ha..ha..haa...
Uoga unao, huoni unavyozunguka tu mbuyu? Ebu weka mambo hadharani mkuu au unahisi utatekwa na wasio julikana?
 
Hivi nikiita waandishi wa habari mimi mwananchi wa kawaida watakuja ili nizungumzie hili swala itawezekana
 
Hivi nikiita waandishi wa habari mimi mwananchi wa kawaida watakuja ili nizungumzie hili swala itawezekana
Kama unazo hoja za msingi itawezekana. BTW unataka kuzungumzia nini tujue namna gani tukusaidie kuwapata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…