Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Nyie ndio wapumbavu katika taifa hill.Acha roho mbaya, huo unaofanya ni zaidi ya ushetani, akipata ajira wewe unaumia nini? na kwa nini umfuatilie mtu mmoja tu?
Mtu ameona mapungufu makubwa kiasi hiki then mnamwambia akae kimya.
Unadhani unajenga taifa au unaliharibu?