Safi sanaa!!Nafanya kazi ya kizalendo ya kuchunguza na kubaini madudu kisha kuyaweka hadharani. Kutafsiri kuwa ni wivu hiyo ni juu yako kulingana na mtazamo wako.
facts.WanaJF tumesahau kwamba TAMISEMI walipokea maombi ya ajira hizi kwa njia Mtandao, yaani hawakupokea bahasha bali Soft copy via Developed system, kwahiyo mifumo yetu ya Computer, Ukifanya Gabbage In itakupa Gabagge Out. Waombaji waliingiza Taarifa chafu/za Uongo na mfumo pia Umetoa taarifa chafu za Uongo. Ni haki yetu kuwahukumu lkn pia Upande wa pili inatoa picha ni kiasi gani hatuko makini tunapoombakazi.
Mind you, TAMISEMI haijawaajiri hao, BALI WAMEITWA KAZINI, huko Halmashauri walikoitwa kuna UKAGUZI WA VYETI NECTA, UHAKIKI WA MAJINA nk nk kama huna Sifa hupenyi ng'oooo
Uozo upo mwingi sana mkuu nikisema niweke hapa kila kitu jukwaa litajaa nyuzi za madudu ya tamisemi tupuMkuu safi sana. Endelea kupekenyua majina mengine na ukikuta yana dosari ktk data zake weka hadharani ili ukweli ujulikane.
Namba ya mtihani anajaza mwombajiHivi ni kwamba huyo aliyekuwa anajaza hizo taarifa kwenye excel hakuwa makini kiasi hicho au ni mchezo unachezwa hapa! But why?
Namba ya mtihani inawezekana kutumiwa na watu wawili?Sijaona logic,mtu anaweza kupata F zote lakini akaamua ku reseat na akapiga fresh na kusonga mbele.Namba ambayo huwa inatambulika ni ile ya awali alopiga F, hizo namba za ku reseat huwa zinaambatanishwa tu wakati wa maombi
inauma haswa unashindwa hata la kufanyaHawa watu wanatuchezea akili,kuna watu wasomi wazuri wameaply lakini cha ajabu wameachwa anakuja kuchaguliwa ambaye hana sifa kabisa,hivi tamisemi wanasubiri hata hili aingilie mh.rais magufuli wakati udhaifu mmeuona,hawa jamaa bila michongo hupati ajira,watu wanawatu wao hata matangazo ya ajira ni geresha tu.Sisi tusio na michongo tumekata tamaa kuaply
Kwa hiyo unatumbia kuwa yaliyofanyika ni sawa kwa vile naye ana familia? Dah..!!!TAMISEMI ni watu kama wewe.
Wanafamilia na ndugu pia.
Kuwa ni wewe uko kitengo muhimu kama tamisemi na BABU ndo awe mpwao mtoto wa dada ako unamuachaje kwa mfano
Sawa, mtu anaweza kareseat, VIPI KUHUSU NAMBA MOJA KUTUMIWA NA WATU WAWILI?Sijaona logic,mtu anaweza kupata F zote lakini akaamua ku reseat na akapiga fresh na kusonga mbele.Namba ambayo huwa inatambulika ni ile ya awali alopiga F, hizo namba za ku reseat huwa zinaambatanishwa tu wakati wa maombi
inauma haswa unashindwa hata la kufanya
Umejibu bila kufikiria mkuu.TAMISEMI ni watu kama wewe.
Wanafamilia na ndugu pia.
Kuwa ni wewe uko kitengo muhimu kama tamisemi na BABU ndo awe mpwao mtoto wa dada ako unamuachaje kwa mfano
Yapo humu fuatilia nyuzi zangu nilizo anzisha na zingine zimeunganishwa kwenye nyuzi zingine.Tuleteeni hayo madudu jamani tuyaone vizuri na ndo mana unakuta mwanafunzi wa shule ya msingi unamuuliza mlima Kilimanjaro upo mkoa gani yy anajibu "mlima kilimanjaro upo kwenye ile chupa ya maji uliyokunywa Jana pale sebuleni"
Kama ali-reseat namba yake ya kidato cha nne isingeanza na S ingeanza na P kama huyuSijaona logic,mtu anaweza kupata F zote lakini akaamua ku reseat na akapiga fresh na kusonga mbele.Namba ambayo huwa inatambulika ni ile ya awali alopiga F, hizo namba za ku reseat huwa zinaambatanishwa tu wakati wa maombi
Mtoa UZI pqmoja nq kwamba utafiti wako ni niq njema ila fahamu umevunja sheria ...kama huyo Emmanuel akiamua kutoka huko aliko mzee ana ku sue...... Character asasination ume mu expose with out his willing ...next time yakupasaa uwe makin kidogo usitaje jina la mtu direct at least unge mentio index namba na izo picha ulizo weka ingetoshaUkistaajabu ya Abdallah Shonde utayaona ya "Babu Lembrice Peter" mwalimu mtarajiwa shule ya msingi Maliwa.
Tukiwa tunaendelea kubaini madudu na ukiritimba uliofanywa na TAMISEMI kwenye ajira mpya za walimu, nimebaini kuna mtu ameajiriwa kwa kutumia index namba ya kidato cha nne ya mtu mwingine.
Huyu mtu si mwingine bali ni BABU LEMBRICE PETER mwenye nambari ya kidato cha nne (S. 1802-0102/2010) ametumia namba ya kidato cha nne ya EMMANUEL MANEMBE MABHU( S. 1802-0102/2010).
Katika uchunguzi wangu nimebaini kuwa EMMANUEL MANEMBE MABHU aliyewahi kuwa mwanafunzi wa shule ya sekondari BWERI ndiye mmiliki halali mwenye index number ( S.1802-0102/2010). Hii ni kwa mujibu wa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne CSEE 2010. Pia unaweza kujiridhisha kwa kuangalia matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2010.
Katika matokeo yake EMMANUEL MANEMBE MABHU hakubahatika kuendelea na elimu ya kidato cha tano kutokana na matokeo yake kuwa hafifu kama ifuatavyo;
CIV-F, HIST-F, GEOG- F, KISW-F, ENG-F, BIO- F, MATH- F. Division: 0 point: 35
Katika hali ya kushangaza. Tamisemi imetumia namba hiyo hiyo ya kidato cha nne ya mtu aliyefeli kumwajiri BABU LEMBRICE PETER kama mwalimu wa History na Kiswahili kwenda kufundisha shule ya msingi Maliwa. Jina la BABU LEMBRICE PETER lipo ukurasa wa 21 kwenye ajira za walimu pia nimeweka kiambatanisho.
Maswali ya kujiuliza:
1. Imekuwaje namba ya kidato cha nne kuanzia center namba ya shule, namba ya mwanafunzi na mwaka wa kumaliza zifanane kwa kila kitu?
2. Watu watakuja na utetezi kwamba EMMANUEL MANEMBE alibadili majina na kutambulika kama BABU LEMBRICE. Kama ni hivo, imekuwaje Tamisemi ikaajiri mtu aliyefeli masomo ya kidato cha nne kwa kupata daraja sifuri?
3. Je, BABU LEMBRICE ana undugu au alicheza deal na moja ya mtumishi huko tamisemi akamfanyia mpango wa kupata ajira?
Kutokana na mapungufu yaliyo kwisha kubainiwa na mengine tutakayo endelea kuyabaini na kuyaibua hadharani. Tunaomba serikali isitishe kwa muda mchakato wa kuwaruhusu walimu wapya kuripoti vituoni badala yake mchakato wa kuwapangia walimu shule za kufanyia kazi urudiwe upya na uchunguzi kwa kupitia takukuru na TISS ufanyike ili watumishi wote waliohusika kufanya ubadhirifu kwenye hizi ajira wachukuliwe hatua kali za kinidhamu.
Kiambatanisho: majina na index namba ya BABU LEMBRICE PETER
View attachment 1637560
Kiambatanisho: jina, matokeo(csee 2010) na index ya kidato cha nne ya EMMANUEL MANEMBE
View attachment 1637565
View attachment 1637567View attachment 1637567