Alwatan kamba
Member
- Nov 16, 2020
- 70
- 236
- Thread starter
-
- #41
Nafuatilia haki na usawa kwenye ajira,sifuatilii mtu. Huu ni uchunguzi wa kubaini madudu naufanya jina kwa jina, page kwa page kwahiyo Kama na wewe ni miongoni mwa waliopata ajira kimagumashi jiandae zamu yako ikifika nitakuweka hadharani.Acha roho mbaya, huo unaofanya ni zaidi ya ushetani, akipata ajira wewe unaumia nini? na kwa nini umfuatilie mtu mmoja tu?
Safi mkuu. Kazi nzuriNafuatilia haki na usawa kwenye ajira,sifuatilii mtu. Huu ni uchunguzi wa kubaini madudu naufanya jina kwa jina, page kwa page kwahiyo Kama na wewe ni miongoni mwa waliopata ajira kimagumashi jiandae zamu yako ikifika nitakuweka hadharani.
Wahusikaa watakua wameshafikiwa na hizi taarifa.....lakini wew mkuu hebu tuambie ulianza vp kuling'amua hili Jambo??? Au Kati ya hao wawili mmoja ni mtu mnae fahamiana nae!!?? Au ww ni mfanyakazi Tamisemi!!??
Yote kwa yote mkuu una chembechembe za wivu kwa msela.....!!
Sijuani na yeyote kati yaoBila shaka mtoa mada anamjua mmoja Kati ya hao
Usihalalishe nepotism katika masuala ya ajira kwa kigezo cha undugu.TAMISEMI ni watu kama wewe.
Wanafamilia na ndugu pia.
Kuwa ni wewe uko kitengo muhimu kama tamisemi na BABU ndo awe mpwao mtoto wa dada ako unamuachaje kwa mfano
Sina malengo ya kumharibia mtu isitoshe simjui hata kwa sura. Nia na dhamira yangu ni kuibua na kuonyesha mapungufu ili yafanyiwe kazi na ikibidi hatua zichukuliwe kwa wale wote walio husika kwa namna moja ama nyingine kusababisha mapungufu hayo maana ni uzembe kwa wizara kubwa kama Tamisemi kutoa majina bila kuyahakiki.mkuu naona unamchome mtu utambi hapo.
alitembea na mkeo nini?
TAMISEMI ni watu kama wewe.
Wanafamilia na ndugu pia.
Kuwa ni wewe uko kitengo muhimu kama tamisemi na BABU ndo awe mpwao mtoto wa dada ako unamuachaje kwa mfano
Katibu Tamisemi haponi kaziHii issue mzaha mzaha inaweza sababisha watu kufukuzwa kazi na kupandishwa mahakamani.
Jamaa Ana roho mbayaaa sanaaaAcha roho mbaya, huo unaofanya ni zaidi ya ushetani, akipata ajira wewe unaumia nini? na kwa nini umfuatilie mtu mmoja tu?
Mwenye roho mbaya ni yule anayeishi na kutetea uovu au kufumbia macho ujinga.Jamaa Ana roho mbayaaa sanaaa
Labda awe na kadi ya ccmHivi usalama wa Taifa wanachukuliwa watu gani,mleta maana anafaa kupewa kazi hapo.
Wazee wa fojari
Hahaaaaaa, sisi watu wa data entry and analysis hatuna kazi, wenye kazi hawafanyi kazi zao kwa umakiniHii issue mzaha mzaha inaweza sababisha watu kufukuzwa kazi na kupandishwa mahakamani.