TAMISEMI imemwajiri Babu Lembrice Peter kwa kutumia namba ya kidato cha nne ya mtu mwingine

Mkuu embu niangalizie namba yangu Kama imetumika huko tamisemi...
Hawa watu walisema wametoa wafanyakazi wenye vyeti feki..vp Sasa wameajiri wafanyakazi wengine wapya wenye vyeti feki
 
Hayo sasa majungu ... huna utakachobadilisha aliyepata kapata aliyekosa kakosa ...Mshukuru MUNGU na sio kulalamika
 
facts.
 
Mkuu safi sana. Endelea kupekenyua majina mengine na ukikuta yana dosari ktk data zake weka hadharani ili ukweli ujulikane.
 
Mkuu safi sana. Endelea kupekenyua majina mengine na ukikuta yana dosari ktk data zake weka hadharani ili ukweli ujulikane.
Uozo upo mwingi sana mkuu nikisema niweke hapa kila kitu jukwaa litajaa nyuzi za madudu ya tamisemi tupu
 
Nam
Hivi ni kwamba huyo aliyekuwa anajaza hizo taarifa kwenye excel hakuwa makini kiasi hicho au ni mchezo unachezwa hapa! But why?
Namba ya mtihani anajaza mwombaji
Tamisemi hawakuwa na kazi ya ku type tena
 
Sijaona logic,mtu anaweza kupata F zote lakini akaamua ku reseat na akapiga fresh na kusonga mbele.Namba ambayo huwa inatambulika ni ile ya awali alopiga F, hizo namba za ku reseat huwa zinaambatanishwa tu wakati wa maombi
Namba ya mtihani inawezekana kutumiwa na watu wawili?
 
inauma haswa unashindwa hata la kufanya
 
TAMISEMI ni watu kama wewe.
Wanafamilia na ndugu pia.
Kuwa ni wewe uko kitengo muhimu kama tamisemi na BABU ndo awe mpwao mtoto wa dada ako unamuachaje kwa mfano
Kwa hiyo unatumbia kuwa yaliyofanyika ni sawa kwa vile naye ana familia? Dah..!!!
 
Sijaona logic,mtu anaweza kupata F zote lakini akaamua ku reseat na akapiga fresh na kusonga mbele.Namba ambayo huwa inatambulika ni ile ya awali alopiga F, hizo namba za ku reseat huwa zinaambatanishwa tu wakati wa maombi
Sawa, mtu anaweza kareseat, VIPI KUHUSU NAMBA MOJA KUTUMIWA NA WATU WAWILI?

Naomba kuuliza, UKIRESEAT UNATUMIA NAMBA ILE ILE ILIYOITUMIA KABLA?
 
Tuleteeni hayo madudu jamani tuyaone vizuri na ndo mana unakuta mwanafunzi wa shule ya msingi unamuuliza mlima Kilimanjaro upo mkoa gani yy anajibu "mlima kilimanjaro upo kwenye ile chupa ya maji uliyokunywa Jana pale sebuleni"
 
Yapo humu fuatilia nyuzi zangu nilizo anzisha na zingine zimeunganishwa kwenye nyuzi zingine.
 
πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ€¨πŸ˜‘πŸ˜‘
 
Sijaona logic,mtu anaweza kupata F zote lakini akaamua ku reseat na akapiga fresh na kusonga mbele.Namba ambayo huwa inatambulika ni ile ya awali alopiga F, hizo namba za ku reseat huwa zinaambatanishwa tu wakati wa maombi
Kama ali-reseat namba yake ya kidato cha nne isingeanza na S ingeanza na P kama huyu
 
Kilichoniuma kabsa kwenye hz ajira kuna classmate wangu n yatima anajitolea school flan ..jamaa alifwatwa akachukuliwa had vyeti na wenye nchi na kuhakikishiwa anapata ajira cha ajabu amekosaa ....nikiri kuna watu sku wakifa ntashangilia sanaaa na kunywaa sanaaaaaa
 
Mtoa UZI pqmoja nq kwamba utafiti wako ni niq njema ila fahamu umevunja sheria ...kama huyo Emmanuel akiamua kutoka huko aliko mzee ana ku sue...... Character asasination ume mu expose with out his willing ...next time yakupasaa uwe makin kidogo usitaje jina la mtu direct at least unge mentio index namba na izo picha ulizo weka ingetosha

Ni maoni yangu nqhisi yatakusaidia kwa kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…