Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye press release wameandika "ifikapo tatehe 25/4/2015" utakua hujaisoma.
Kuanzia saa nne na kuendelea mambo yatakuwa poa... Saahzi asubuh sana ndio kwanza wanawasha pc waupload mzigo.
Naomba walimu mtuvumilie kidogo kwa mwezi huu mambo ni mengi,pesa ambayo tungewalipa tumeitumia kwenye kuandaa maadhimisho ya union day,kwa uhakika zaidi post zitatoka tarh1 may na mtaripoti tarh 15 may.TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU UTAKAOJITOKEZA
mbona unawapotosha wenzio, walimu msiwe na shaka leo hii kuanzia saa nne tutatoa majina. poleni kwa usumbufu.
Kama kungekuwa na mabadiliko tungejulishwa ila kwa sababu hakuna mabadiliko ina maana majina yatatoka Mda wowote ndani ya siku ya Leo kama tumengoja kwa miezi zaidi ya Tisa kwa nini tushindwe kungoja kwa Massa haya machache#ni vema kuwa wavumilivu#hata katika mambo yetu binafsi.Ha ha ha assuming ztakua nyng sana leo..
Mwaka jana walitoa saa tatu asubuhi.
Hahahaaaaaa bwana chi acha mioyo inalipukaKwa walimu wa shada
Bofya hapaa..
Kwa walimu wa stashahada
Bofya hapa....
Kwa walimu wa cheti
Bofya hapa...