TAMISEMI kuachia mzigo usiku

TAMISEMI kuachia mzigo usiku

Kuanzia saa nne na kuendelea mambo yatakuwa poa... Saahzi asubuh sana ndio kwanza wanawasha pc waupload mzigo.
 
Naomba walimu mtuvumilie kidogo kwa mwezi huu mambo ni mengi,pesa ambayo tungewalipa tumeitumia kwenye kuandaa maadhimisho ya union day,kwa uhakika zaidi post zitatoka tarh1 may na mtaripoti tarh 15 may.TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU UTAKAOJITOKEZA
 
mbona unawapotosha wenzio, walimu msiwe na shaka leo hii kuanzia saa nne tutatoa majina. poleni kwa usumbufu.
 
Kwa walimu wa shada
Bofya hapaa..

Kwa walimu wa stashahada
Bofya hapa....

Kwa walimu wa cheti
Bofya hapa...
 
mbona unawapotosha wenzio, walimu msiwe na shaka leo hii kuanzia saa nne tutatoa majina. poleni kwa usumbufu.

Hatupotoshi ndugu yangu,ukweli ndo huu,we wadanganye eti saa nne,taarifa zilizopo ni kuwa wataripoti tarh 15 may,by tamisemi
 
na zisitoke basi mufurah na mioyo yenu, maana kila m2 humu anatokea dodoma tamisemi.
 
Ha ha ha assuming ztakua nyng sana leo..
Kama kungekuwa na mabadiliko tungejulishwa ila kwa sababu hakuna mabadiliko ina maana majina yatatoka Mda wowote ndani ya siku ya Leo kama tumengoja kwa miezi zaidi ya Tisa kwa nini tushindwe kungoja kwa Massa haya machache#ni vema kuwa wavumilivu#hata katika mambo yetu binafsi.
 
subirini walimu mtandao unasumbua baada ya muda mfupi kuansia sasa mambo yataenda sawia-tunalishughlkia hlo msiwaze!!!!
 
Yani hapa naelekea hospitali mana na presha ni 220/250
 
Mmh hadi saivi mzigo badoo tu duuuh...yani kubonyeza tu Enter kuna shida gani???
 
Back
Top Bottom