chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 339
Hatupotoshi ndugu yangu,ukweli ndo huu,we wadanganye eti saa nne,taarifa zilizopo ni kuwa wataripoti tarh 15 may,by tamisemi
Tarifa hizo umepata wapi?
acha kutunga mambo ww kijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatupotoshi ndugu yangu,ukweli ndo huu,we wadanganye eti saa nne,taarifa zilizopo ni kuwa wataripoti tarh 15 may,by tamisemi
Nchi hii ya majaribio kwa kweli,kila kitu ni full politics,waafrika nani aliyeturoga? Unatoa taarifa tena "press release' unasema tar 24 mambo yatakuwa wazi,kumbe uongo! Be realistic,acheni siasa tunataka utaalamu ufanye kazi in the right time as promised...nchi hii si wajinga kiasi hiki.
Uhuru mpe moyo chichimizi mana amegoma kula[/Q
Hahahaha mwambie ale anywe na afurahi Mda si mrefu tunaelekea nchi ya ahadi
taarifa za uhakika ni kwamba flash iliyokuwa na majina mheshimiwa alienda nayo nyumbani bahati mbaya mtoto wake aliichukua akaiformat akaijaza nyimbo! Kuweni na subira wanaanza mchakato upya.
Nimeona kila mtu anakuja na taarifa na mimi taarifa hiyo!
Tembelea hii link na udownload bure http://thepiratebay.org/torrent/4326867/Wall_Street_(1987)_(Michael_Douglas__Charlie_Sheen)
Kama kungekuwa na mabadiliko tungejulishwa ila kwa sababu hakuna mabadiliko ina maana majina yatatoka Mda wowote ndani ya siku ya Leo kama tumengoja kwa miezi zaidi ya Tisa kwa nini tushindwe kungoja kwa Massa haya machache#ni vema kuwa wavumilivu#hata katika mambo yetu binafsi.
Nyie nanyi mmezidi Mawenge" Mara mwingine Usiku huu, ooooh tar 28!.. Ptuuuuuu, kama kweli mna hao watu tamisemi, si wawambie mmepangiwa wapi afu mpige kmya. Sasa nanyi mwasubiri kama sie tusiokua na watu eti wa karibu tamisemi...Kaaa tulienii mbona kama mmetiwa ndimu SAMAHANI LAKINI.