TAMISEMI kuachia mzigo usiku

TAMISEMI kuachia mzigo usiku

Daaaah sasa haya mambo gani huu si uboya sasa aaaaagh.up to now mtu hajatupia majina asa sibora asingesema tu.

Poa tu kama vipi asiwe hayo majina akayale
 
Nchi hii ya majaribio kwa kweli,kila kitu ni full politics,waafrika nani aliyeturoga? Unatoa taarifa tena "press release' unasema tar 24 mambo yatakuwa wazi,kumbe uongo! Be realistic,acheni siasa tunataka utaalamu ufanye kazi in the right time as promised...nchi hii si wajinga kiasi hiki.
 
Sasa haya mambo gani up to now no any good news? Asaa kwani si bora asingesema tu,,michongo gani sasa hii ya kiboyaaaaa huuu ni uhuni sasa eee lazima niseme uhuni bwana.Tena akatoa na tangazo kubwa kwenye tovuti ya Tamisemi,,,,mkubwa daaah sikutegemeaaa siasa hadi kwenye maisha ya watu zaidi ya elfu 40 haswaa huu ni ufedhuli mkubwaa eee ufedhuli!!! Hata ukisema siku haijaishaaaa but hivi unaijuaa tension ya kusubiri matokeo wewe? haswa kwenye jambo lenye utata kama hili? hatujui kama jina litakuwemo amaaa laaah kwani mlishaanza FIGISUFIGISU oooh arts mmejaa sawa sisi tumejaa haya mtoee basi tujuee tunahusika au hatuhusiki aaaaagh.
Watu since jana hatujalala kwa KIMUHEMUHE CHA AJIRA but ndompaka sasa peuuupeeeeee daaah kiukweli hii nchi bora ingekua kama urusi tu full kijeshi aaaaaaah filderi castro njoo bongo uwafunze viongozi wetu kuwa acuracy
 
Kwenye press release ni 25/4/2015 labda kama umesimuliwa.

Nchi hii ya majaribio kwa kweli,kila kitu ni full politics,waafrika nani aliyeturoga? Unatoa taarifa tena "press release' unasema tar 24 mambo yatakuwa wazi,kumbe uongo! Be realistic,acheni siasa tunataka utaalamu ufanye kazi in the right time as promised...nchi hii si wajinga kiasi hiki.
 
Kuwa mpole kijana chichimizi majina yataachiwa wakati tulivu utayapokea ukiwa na glass ya maji baridi majira ya jioni ukifatilia mechi kwa utulivu na kupata furaha maradufu.
 
Uhuru mpe moyo chichimizi mana amegoma kula
 
taarifa za uhakika ni kwamba flash iliyokuwa na majina mheshimiwa alienda nayo nyumbani bahati mbaya mtoto wake aliichukua akaiformat akaijaza nyimbo! Kuweni na subira wanaanza mchakato upya.

Nimeona kila mtu anakuja na taarifa na mimi taarifa hiyo!
 
You guy you are very funny! Nimecheka had nimeongeza miaka 50 ya kuishi!
 
Kweli ajira janga la taifa maana thread za ajira za walimu zinafunguliwa kila dakika.

Halafu wakienda kuanza kazi wanaanza dai mazingira magumu na salary ndogo
 
Kama kungekuwa na mabadiliko tungejulishwa ila kwa sababu hakuna mabadiliko ina maana majina yatatoka Mda wowote ndani ya siku ya Leo kama tumengoja kwa miezi zaidi ya Tisa kwa nini tushindwe kungoja kwa Massa haya machache#ni vema kuwa wavumilivu#hata katika mambo yetu binafsi.

Kwel mkuu yan hapa nipo narefresh tu page ya tamisem tokea asubuh.
 
Nyie nanyi mmezidi Mawenge" Mara mwingine Usiku huu, ooooh tar 28!.. Ptuuuuuu, kama kweli mna hao watu tamisemi, si wawambie mmepangiwa wapi afu mpige kmya. Sasa nanyi mwasubiri kama sie tusiokua na watu eti wa karibu tamisemi...Kaaa tulienii mbona kama mmetiwa ndimu SAMAHANI LAKINI.

bongo kila mtu anajifanya mtu wa system
 
Watuu presha utafikiri tumefojii vyetuu embu serikali itoe ayoo majina itaua watu na presha
 
Back
Top Bottom