TAMISEMI kupangia watoto waliomaliza kidato cha nne kujiunga na vyuo

Hypersonic

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2012
Posts
996
Reaction score
1,913
Natamani kupata maoni ya wadau kuhusiana na hili jambo, kwa mwaka huu kuna wimbi kubwa sana lam watoto wa walalahoi kupangiwa kujiunga na vyuo vya kati kwa kipindi kisichopunguwa miaka mitatu, kwa maana mwaka mmoja Certificate na mwaka wa pili Diploma.

Hili ni jambo jema swali langu ikiwa mtoto anaenda form five ada ni shilingi elfu 80 na anaenda chuo ada ni kuanzia laki 7 na nusu mpaka milioni moja na nusu hii ikiwa ada peke yake.

Je, kuna utafiti umefanyika ili kuona kama wazazi wana mudu hizo gharama? kama sivyo kwa nini hivi vyuo vya kati navyo gharama isiwe elfu 80 kwa wale wanaopelekwa na Tamisemi, isipokuwa tu wale ambao ni private ndo walipe hiyo ada rasmi.

Lakini pia inashangaza kuona kwa dunia ya leo hii ambayo hata kozi za kawaida tu watu hawana ajira unampangia mtu akasomee kutunza kumbukumbu kweli?
 
Hehehe masikini kila kitu nikulalamika.
Tajiri wewe shangilia, so far mimi si maskini ndugu uwezo wa kulipa milioni tatu hadi nne kama ada kwa si issue ila nawahurumia hawa wanaotoka shule za kayumba na kutupwa vyuoni, huyu mtu hata hela tu ya uniform ilikuwa shida. Unamwambia akasome chuo kwa ada ya milioni moja mpaka moja na point 5, umewaza kweli kabla ya kukurupuka kucomment bwege wewe? Umejiuliza ni kwa nini zaidi ya asilimia 75 ya wanavyuo walioko vyuoni wana mikopo ya serikali? Unajifanya tajiri , Tajiri atakuwa Kenge kama wewe.
 
Natamani kupata maoni ya wadau kuhusiana na hili jambo, kwa mwaka huu kuna wimbi kubwa sana lam watoto wa walalahoi kupangiwa kujiunga na vyuo vya kati kwa kipindi kisichopunguwa miaka mitatu, kwa maana mwaka mmoja Certificate na mwaka wa pili Diploma. Hili ni jambo jema swali langu ikiwa mtoto anaenda form five ada ni shilingi elfu 80 na anaenda chuo ada ni kuanzia laki 7 na nusu mpaka milioni moja na nusu hii ikiwa ada peke yake. Je kuna utafiti umefanyika ili kuona kama wazazi wana mudu hizo gharama? kama sivyo kwa nini hivi vyuo vya kati navyo gharama isiwe elfu 80 kwa wale wanaopelekwa na Tamisemi, isipokuwa tu wale ambao ni private ndo walipe hiyo ada rasmi. Lakini pia inashangaza kuona kwa dunia ya leo hii ambayo hata kozi za kawaida tu watu hawana ajira unampangia mtu akasomee kutunza kumbukumbu kweli?
Mtu ambae hajazoea kulipa ada Kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari kumpagia mwanae alipe 1m kwenye chuo cha kati ni sawasawa kumuambia kwamba ache shule anze maishe mengine.....
 
Huu ni ukweli ulio wazi, mimi nadhani kama nia nikuwasidia watoto wangefanya ada ziwe sambasamba na zile za ADVANCE.
 
Hata Ada zikiwa hadi 80,000 malazi, meals na stationery ni zaidi ya 1m kwa mwaka, sasa huyu mkulima mpiga kura wa ccm kijijini ataweza kumudi hizo gharama labda mtoto awe omba omba hapo mjini, kama serikali iko serious itowe mikopo kwa kila alio pangiwa chuo cha kati.
 
Si nasikia Kuna baadhi ya course wanapatiwa mikopo?
 
Natamani kupata maoni ya wadau kuhusiana na hili jambo, kwa mwaka huu kuna wimbi kubwa sana lam watoto wa walalahoi kupangiwa kujiunga na vyuo vya kati kwa kipindi kisichopunguwa miaka mitatu, kwa maana mwaka mmoja Certificate na mwaka wa pili Diploma. Hili ni jambo jema swali langu ikiwa mtoto anaenda form five ada ni shilingi elfu 80 na anaenda chuo ada ni kuanzia laki 7 na nusu mpaka milioni moja na nusu hii ikiwa ada peke yake. Je kuna utafiti umefanyika ili kuona kama wazazi wana mudu hizo gharama? kama sivyo kwa nini hivi vyuo vya kati navyo gharama isiwe elfu 80 kwa wale wanaopelekwa na Tamisemi, isipokuwa tu wale ambao ni private ndo walipe hiyo ada rasmi. Lakini pia inashangaza kuona kwa dunia ya leo hii ambayo hata kozi za kawaida tu watu hawana ajira unampangia mtu akasomee kutunza kumbukumbu kweli?
Una uhakika mtoto anayekwenda advance mzazi itamtoka 80K au unasoma kwenye magazeti?
 
hilo liko wazi mimi sijaanzakulipa jana wala ada rasmi ya serikali ni shilingi elfu 80, baada ya hapo utakuta gharama kama hela mlinzi, mpishi, nk nk. na hata ninavosema ada ya chuo ni milioni moja siyo hiyo peke yake kuna vitu kama bima, hosteli, chakula na stationery. Kwa hivo unapaswa tu uelewe kuwa ninakifahamu ninachokijua? jikite tu kwenye ada. Ni wazazi wachache watamudu hizo gharama, gharama hizo hizo ndo wanalipa wanaosoma degree na wana pewa mikopo. Kwa kumalizia ada ya advance kwa first year hawezi kuzidi laki 4 na nusu.
 
Nadhani haipaswi kuwa baadhi ya ada kuwa na mikopo na nyingine ziwepo wanabidi kushusha ada kwa vyuo vya kati iwe kama ilivo kwa VETA. Ada za mafunzo kwa kozi za muda mrefu kwa vyuo vinavyomilikiwa na VETA kwa sasa ni shilingi 60,000/= kwa mwanafunzi wa kutwa katika fani zote na bweni ni shilingi 120,000/=. Mahitaji mengine hutegemeana na fani na chuo, yanakadiriwa kuwa kati ya Shilingi 200,000 na 250,000. Lakini unapangia mtoto kwenda CBE ada tu milioni moja na kitu. Kidato cha tano .ADA NA MICHANGO) Ada ya shule kwa mwaka ni Tsh 70,000/= ambayo ni sawa na Tsh 35,000/= kwa muhula.b) MICHANGOi. Shilingi 15,000/= kwa ajili ya ukarabati wa samani.ii. Shilingi 6,000/= kwa ajili ya kitambulishoiii. Shilingi 20,000/= kwa ajili ya taaluma“Tafadhali andika jina laiv. Shilingi 30,000/= kwa ajili ya kuwalipa wapishi, walinzi na vibarua wengine.v. Shilingi 2000/= kwa ajili ya nembo ya shulevi. Shilingi 10,000/= kwa ajili ya matibabu(Tsh 5,000/= kwa ajili ya bima ya afya naTsh 5,000/= kwa ajili ya huduma ya kwanza)vii. Shilingi 20,000/= kwa ajili ya mitihani ya kujipima (Mock)viii. Fedha ya tahadhari Tsh 5,000/= (Haitarudishwa) UKIJUMLISHA MICHANGO NA ADA HAIFIKI HATA NUSU YA HUYU ANAENDA KUSOMA KIDATO CHA TANO. Alafu kumbuka huyu anakaa boarding, anakula na kulala bure, sheria inamlinda kama mtoto. Lakini huyu wa chuo sheria haimtambui kama mtoto anaonekana si mtoto tena kwa sababu tu yuko chuo. Kumbuka hapa kuna watoto mpaka wa miaka 16 wanaonda kuanza certifiacte.
 
Una uhakika mtoto anayekwenda advance mzazi itamtoka 80K au unasoma kwenye magazeti?
VETA. Ada za mafunzo kwa kozi za muda mrefu kwa vyuo vinavyomilikiwa na VETA kwa sasa ni shilingi 60,000/= kwa mwanafunzi wa kutwa katika fani zote na bweni ni shilingi 120,000/=. Mahitaji mengine hutegemeana na fani na chuo, yanakadiriwa kuwa kati ya Shilingi 200,000 na 250,000.
Lakini unapangia mtoto kwenda CBE ada tu milioni moja na kitu. Kidato cha tano .ADA NA MICHANGO) Ada ya shule kwa mwaka ni Tsh 70,000/= ambayo ni sawa na Tsh 35,000/= kwa muhula.b) MICHANGOi. Shilingi 15,000/= kwa ajili ya ukarabati wa samani.ii. Shilingi 6,000/= kwa ajili ya kitambulishoiii. Shilingi 20,000/= kwa ajili ya taaluma“Tafadhali andika jina laiv. Shilingi 30,000/= kwa ajili ya kuwalipa wapishi, walinzi na vibarua wengine.v. Shilingi 2000/= kwa ajili ya nembo ya shulevi. Shilingi 10,000/= kwa ajili ya matibabu(Tsh 5,000/= kwa ajili ya bima ya afya naTsh 5,000/= kwa ajili ya huduma ya kwanza)vii. Shilingi 20,000/= kwa ajili ya mitihani ya kujipima (Mock)viii. Fedha ya tahadhari Tsh 5,000/= (Haitarudishwa) UKIJUMLISHA MICHANGO NA ADA HAIFIKI HATA NUSU YA HUYU ANAENDA KUSOMA KIDATO CHA TANO.
Alafu kumbuka huyu anakaa boarding, anakula na kulala bure, sheria inamlinda kama mtoto. Lakini huyu wa chuo sheria haimtambui kama mtoto anaonekana si mtoto tena kwa sababu tu yuko chuo. Kumbuka hapa kuna watoto mpaka wa miaka 16 wanaonda kuanza certifiacte.
 
Natamani kupata maoni ya wadau kuhusiana na hili jambo, kwa mwaka huu kuna wimbi kubwa sana lam watoto wa walalahoi kupangiwa kujiunga na vyuo vya kati kwa kipindi kisichopunguwa miaka mitatu, kwa maana mwaka mmoja Certificate na mwaka wa pili Diploma. Hili ni jambo jema swali langu ikiwa mtoto anaenda form five ada ni shilingi elfu 80 na anaenda chuo ada ni kuanzia laki 7 na nusu mpaka milioni moja na nusu hii ikiwa ada peke yake. Je kuna utafiti umefanyika ili kuona kama wazazi wana mudu hizo gharama? kama sivyo kwa nini hivi vyuo vya kati navyo gharama isiwe elfu 80 kwa wale wanaopelekwa na Tamisemi, isipokuwa tu wale ambao ni private ndo walipe hiyo ada rasmi. Lakini pia inashangaza kuona kwa dunia ya leo hii ambayo hata kozi za kawaida tu watu hawana ajira unampangia mtu akasomee kutunza kumbukumbu kweli?
Tunaposema NO REFORM NO ELECTION mtuelewe jamani
 
A
hilo liko wazi mimi sijaanzakulipa jana wala ada rasmi ya serikali ni shilingi elfu 80, baada ya hapo utakuta gharama kama hela mlinzi, mpishi, nk nk. na hata ninavosema ada ya chuo ni milioni moja siyo hiyo peke yake kuna vitu kama bima, hosteli, chakula na stationery. Kwa hivo unapaswa tu uelewe kuwa ninakifahamu ninachokijua? jikite tu kwenye ada. Ni wazazi wachache watamudu hizo gharama, gharama hizo hizo ndo wanalipa wanaosoma degree na wana pewa mikopo. Kwa kumalizia ada ya advance kwa first year hawezi kuzidi laki 4 na nusu.
Ada advance haipo ishafutwa sasa kuna michango tu kama hiyo taluma nk siyo.ada tena
 
Tunaposema NO REFORM NO ELECTION mtuelewe jamani
WAKUISEMEA HIYO NRNE NI AKINA NANI? Kila mtu anaangalia tumbo lake naamini kila kitu kinapangwa na wanasiasa na siasa,dini na biashara ndo zinaendesha nchi na dunia kwa ujumla lakini kwa hapa Tanzania hatuna wanasiasa tuna wajasiriamali wa matumbo yao. Itoshe kusema ndo maana unaona wasanii na wafabiashara wote ni wana CCM kwa sababu wanalinda maslahi yao.
 
A

Ada advance haipo ishafutwa sasa kuna michango tu kama hiyo taluma nk siyo.ada tena
Najua ndo maana nikataja hiyo elfu 80 ambayo ina jumuisha Michango mbalimbali kama Mchango wa Uendeshaji wa Shule 65,000/=3. Tahadhari 5,000/=4. Nembo 5,000/=5. Kitambulisho cha Shule 5,000/= Jumla 80,000/=
 
WAKUISEMEA HIYO NRNE NI AKINA NANI? Kila mtu anaangalia tumbo lake naamini kila kitu kinapangwa na wanasiasa na siasa,dini na biashara ndo zinaendesha nchi na dunia kwa ujumla lakini kwa hapa Tanzania hatuna wanasiasa tuna wajasiriamali wa matumbo yao. Itoshe kusema ndo maana unaona wasanii na wafabiashara wote ni wana CCM kwa sababu wanalinda maslahi yao.
Wazazi mnawaendekeza walimu kwa kukubali tu cause hao walimu wakibanwa na mamlaka wanasema siyo sisi Wazazi ndio wametaka na kwenye vikao vyao na kuna wazazi kisa elimu wanakuwa wajinga wajinga hususani hawa waliopata bahati ya kushika visenti ila wao hawana elimu aisee kwenye vikao wao kila.kiti ndio mwalimu ndio mwalimu kwa sababu hawajui kitu wao wanamini kutoa pesa tu mwisho.wa siku watoto wao wanasoma wanaishai kuwa madesa wengine walevi kwa sababu ya ujinga wakukubali kila jambo walimu wakisema wanaona wanaeasaidia kumbe wanawaribia watoto wao
 
Back
Top Bottom