Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,538
- 21,664
Haya ni majibu ya mwana CCM aliyeshiba kande.Hehehe masikini kila kitu nikulalamika.
Haya ni majibu ya mwana CCM aliyeshiba kande.Hehehe masikini kila kitu nikulalamika.
Natamani mabadiliko katika hili ili watoto wengi wanufaike, hizi kozi fupi fupi zina tija sana kwenya ajira kuliko haya madegree. Cha msingi serikali iangalie ni kwa namna gani majority watanufaika na siyo minorityTupo pamoja mdau wa elimu
Kazi kwenda kuvuruga mikutano ya chama pinzani, sasa hv unalia huku eti mtoto wa mlalahoi kapangiwa chuo. Kama aliomba mwenyewe unataka apangiwe kuwa chawa?? Pambana usomeshe sisi hayatuhusuNatamani kupata maoni ya wadau kuhusiana na hili jambo, kwa mwaka huu kuna wimbi kubwa sana lam watoto wa walalahoi kupangiwa kujiunga na vyuo vya kati kwa kipindi kisichopunguwa miaka mitatu, kwa maana mwaka mmoja Certificate na mwaka wa pili Diploma. Hili ni jambo jema swali langu ikiwa mtoto anaenda form five ada ni shilingi elfu 80 na anaenda chuo ada ni kuanzia laki 7 na nusu mpaka milioni moja na nusu hii ikiwa ada peke yake. Je kuna utafiti umefanyika ili kuona kama wazazi wana mudu hizo gharama? kama sivyo kwa nini hivi vyuo vya kati navyo gharama isiwe elfu 80 kwa wale wanaopelekwa na Tamisemi, isipokuwa tu wale ambao ni private ndo walipe hiyo ada rasmi. Lakini pia inashangaza kuona kwa dunia ya leo hii ambayo hata kozi za kawaida tu watu hawana ajira unampangia mtu akasomee kutunza kumbukumbu kweli?
Huyu kumpa sifa ya kuwa mwana ccm umempandisha daraja, haya ni majibu ya mtu anaekaa kwa shemeji aikishashiba anasahau shughuli anayofanya dadake usiku. Kwa kuwa dada kamfurahisha shemeji, shemeji kamuachia hela ya bando na Noah kwenda kuchukuwa watoto shule anajiona tajiri.Haya ni majibu ya mwana CCM aliyeshiba kande.
Hiyo mikutano inavurugwa vipi? isipovurugwa hata ikifanyika mchana hadi usiku ukitoka hapo lazima ukatafute hela ya kula na matumizi mengine.Kazi kwenda kuvuruga mikutano ya chama pinzani, sasa hv unalia huku eti mtoto wa mlalahoi kapangiwa chuo. Kama aliomba mwenyewe unataka apangiwe kuwa chawa?? Pambana usomeshe sisi hayatuhusu
Sasa unalilia nini huku badala ya kwenda kutafuta pesa ya kusomesha mtoto. Vyuo hawapangiwi tu ni wao na chaguzi zao. Kama huna pesa uwe unampa somo mwanao mapema kuwa asichague chuo au afeliHiyo mikutano inavurugwa vipi? isipovurugwa hata ikifanyika mchana hadi usiku ukitoka hapo lazima ukatafute hela ya kula na matumizi mengine.
Mpeleke huko VETA.VETA. Ada za mafunzo kwa kozi za muda mrefu kwa vyuo vinavyomilikiwa na VETA kwa sasa ni shilingi 60,000/= kwa mwanafunzi wa kutwa katika fani zote na bweni ni shilingi 120,000/=. Mahitaji mengine hutegemeana na fani na chuo, yanakadiriwa kuwa kati ya Shilingi 200,000 na 250,000.
Lakini unapangia mtoto kwenda CBE ada tu milioni moja na kitu. Kidato cha tano .ADA NA MICHANGO) Ada ya shule kwa mwaka ni Tsh 70,000/= ambayo ni sawa na Tsh 35,000/= kwa muhula.b) MICHANGOi. Shilingi 15,000/= kwa ajili ya ukarabati wa samani.ii. Shilingi 6,000/= kwa ajili ya kitambulishoiii. Shilingi 20,000/= kwa ajili ya taaluma“Tafadhali andika jina laiv. Shilingi 30,000/= kwa ajili ya kuwalipa wapishi, walinzi na vibarua wengine.v. Shilingi 2000/= kwa ajili ya nembo ya shulevi. Shilingi 10,000/= kwa ajili ya matibabu(Tsh 5,000/= kwa ajili ya bima ya afya naTsh 5,000/= kwa ajili ya huduma ya kwanza)vii. Shilingi 20,000/= kwa ajili ya mitihani ya kujipima (Mock)viii. Fedha ya tahadhari Tsh 5,000/= (Haitarudishwa) UKIJUMLISHA MICHANGO NA ADA HAIFIKI HATA NUSU YA HUYU ANAENDA KUSOMA KIDATO CHA TANO.
Alafu kumbuka huyu anakaa boarding, anakula na kulala bure, sheria inamlinda kama mtoto. Lakini huyu wa chuo sheria haimtambui kama mtoto anaonekana si mtoto tena kwa sababu tu yuko chuo. Kumbuka hapa kuna watoto mpaka wa miaka 16 wanaonda kuanza certifiacte.
Saw nimekuelewa.Nadhani haipaswi kuwa baadhi ya ada kuwa na mikopo na nyingine ziwepo wanabidi kushusha ada kwa vyuo vya kati iwe kama ilivo kwa VETA. Ada za mafunzo kwa kozi za muda mrefu kwa vyuo vinavyomilikiwa na VETA kwa sasa ni shilingi 60,000/= kwa mwanafunzi wa kutwa katika fani zote na bweni ni shilingi 120,000/=. Mahitaji mengine hutegemeana na fani na chuo, yanakadiriwa kuwa kati ya Shilingi 200,000 na 250,000. Lakini unapangia mtoto kwenda CBE ada tu milioni moja na kitu. Kidato cha tano .ADA NA MICHANGO) Ada ya shule kwa mwaka ni Tsh 70,000/= ambayo ni sawa na Tsh 35,000/= kwa muhula.b) MICHANGOi. Shilingi 15,000/= kwa ajili ya ukarabati wa samani.ii. Shilingi 6,000/= kwa ajili ya kitambulishoiii. Shilingi 20,000/= kwa ajili ya taaluma“Tafadhali andika jina laiv. Shilingi 30,000/= kwa ajili ya kuwalipa wapishi, walinzi na vibarua wengine.v. Shilingi 2000/= kwa ajili ya nembo ya shulevi. Shilingi 10,000/= kwa ajili ya matibabu(Tsh 5,000/= kwa ajili ya bima ya afya naTsh 5,000/= kwa ajili ya huduma ya kwanza)vii. Shilingi 20,000/= kwa ajili ya mitihani ya kujipima (Mock)viii. Fedha ya tahadhari Tsh 5,000/= (Haitarudishwa) UKIJUMLISHA MICHANGO NA ADA HAIFIKI HATA NUSU YA HUYU ANAENDA KUSOMA KIDATO CHA TANO. Alafu kumbuka huyu anakaa boarding, anakula na kulala bure, sheria inamlinda kama mtoto. Lakini huyu wa chuo sheria haimtambui kama mtoto anaonekana si mtoto tena kwa sababu tu yuko chuo. Kumbuka hapa kuna watoto mpaka wa miaka 16 wanaonda kuanza certifiacte.
Watanzania wengi tumebaki kuwa wa kulialia tu. Sasa unazaa watoto wa nini kama hadi kusomesha. Ukute ndo alimwambia omba chuo, amechaguliwa na kuona figure ya ada kaanza kulia hukuMpeleke huko VETA.
Kaa ukijua kuwa TAMISEMI hawawajazii wanafunzi fomu za kuomba kuchaguliwa unakodai TAMISEMI imewapeleka,ni ama wanafunzi wenyewe ama maelekezo yako wewe mzazi.
Tatizo uwelewa wako umishia hapo, jambo la kwanza kabisa sina mtoto aliyemaliza formu four mwaka huu lakini pia sina kumbukumbu ya mwanangu kuomba mkopo BODI ya mikopo. sijawahi kuwa na mtoto aliyepanda daladala au boda boda kwenda shule, sijawahi kuwa na mtoto aliyepanda basi la abiria kwenda na kurudi nyumbani pindi amalizapo shule. lakini haizui kuwazungumzia wengine ambao najua kabisa uwezo huo hawana tena ukiwemo na wewe. Nafuatilia Elimu kwa sababu naamini ktk elimu kama njia na msingi wa kuelekea mafanikio. Pia elewa wazi kuwa siyo kila mtoto amepangiwa kile alichochagua. Kuna wengi tu ambao hata hawakuwahi kusikia kama TAMISEMI walitoa nafasi ya wao kuomba kuabadilisha Taasusi. Mwisho kabisa mwanagu wa mwisho kati ya wanne yuko Form Four KITUNGWA ADVENTIST Secondary google ada Zao. alafu ndo urudi.Sasa unalilia nini huku badala ya kwenda kutafuta pesa ya kusomesha mtoto. Vyuo hawapangiwi tu ni wao na chaguzi zao. Kama huna pesa uwe unampa somo mwanao mapema kuwa asichague chuo au afeli
NENDA WEBSITE YAO ANGALIA VYUO VYA VETA VYENYE BAORDING VIKO KIBAOSaw nimekuelewa.
Sasa nakuomba unitajie VETA za serikali ambazo Wanafunzi wanaishi na kula hapo chuoni kama ilivyo kwa hivyo vyuo vya kati,nitajie hata viwili tu ili nami nimepeleke kijana wangu ili nikalipie hizo gharama kidogo.
Chuo Sio Kitu Cha mtu kupangiwa. Chuo unatakiwa uamue mwenyewe. Kozi mpaka chuo Cha kwenda pamoja na gharama. Serikali iongeze nguvu kwenye ujenzi wa shule za advance Ili Kila muhitimu wa kidato Cha Nne mwenye sifa apate nafasi. Anae taka kwenda chuo ataomba mwenyewe kwa hiyari yake. Huwezi kumpangia mtu taaluma ya kwenda kusoma kwa kuzingatia maamuzi Yako mwenyewe..!! That's absurd 😠😡Hehehe masikini kila kitu nikulalamika.
Hujaelewa kasome tena..!! Ani hata application round ya kwanza haijaisha Wewe unasema kaomba mwenyewe kaomba wapi na lini..!?Kazi kwenda kuvuruga mikutano ya chama pinzani, sasa hv unalia huku eti mtoto wa mlalahoi kapangiwa chuo. Kama aliomba mwenyewe unataka apangiwe kuwa chawa?? Pambana usomeshe sisi hayatuhusu
Boarding Kagera VTC , DODOMA,MBEYA, KONGOWE, KONGWA NKNENDA WEBSITE YAO ANGALIA VYUO VYA VETA VYENYE BAORDING VIKO KIBAO
UKO SAHIHI kabisa lakini ukikutana na baadhi ya wazazi ambao watoto wao wamehitimu form 2024 watoto wametupwa vyuoni, hasa wale wenye daraja la tatuChuo Sio Kitu Cha mtu kupangiwa. Chuo unatakiwa uamue mwenyewe. Kozi mpaka chuo Cha kwenda pamoja na gharama. Serikali iongeze nguvu kwenye ujenzi wa shule za advance Ili Kila muhitimu wa kidato Cha Nne mwenye sifa apate nafasi. Anae taka kwenda chuo ataomba mwenyewe kwa hiyari yake. Huwezi kumpangia mtu taaluma ya kwenda kusoma kwa kuzingatia maamuzi Yako mwenyewe..!! That's absurd 😠😡
Ukipitia ukurasa rasmi wa TAMISEMI, MTOTO anapangiwa chuo na anawekewa na gharama ya chuo husika, labda ngoja wasubiri kama utatoka muongozo kuhusu ADA.NAZANI KUNA MUONGOZO UPO LABDA UWE UMEBADILIKA WATOTO WANAOENDA VYUO BADALA YA ADVANCE KWA KUPANGIWA NA SERIKALI HAWALIPI NA WANASOMA VYUO VYA SERIKALI BURE KWA MIAKA YOTE HIYO.
KAMA KUNA MABADILIKO MTUAMBIE
NAZANI KUNA MUONGOZO UPO LABDA UWE UMEBADILIKA WATOTO WANAOENDA VYUO BADALA YA ADVANCE KWA KUPANGIWA NA SERIKALI HAWALIPI NA WANASOMA VYUO VYA SERIKALI BURE KWA MIAKA YOTE HIYO.
KAMA KUNA MABADILIKO MTUAMBIE
| MARKETING IN TOURISM AND EVENT MANAGEMENT | College | DODOMA CC - DODOMA | Ada: 1,020,000/- Muda wa Masomo (Miaka): 3 Mawasiliano ya Simu: |
NIwekee mfano hapa nami nioneUkipitia ukurasa rasmi wa TAMISEMI, MTOTO anapangiwa chuo na anawekewa na gharama ya chuo husika, labda ngoja wasubiri kama utatoka muongozo kuhusu ADA.