TAMISEMI kupangia watoto waliomaliza kidato cha nne kujiunga na vyuo

Kazi kwenda kuvuruga mikutano ya chama pinzani, sasa hv unalia huku eti mtoto wa mlalahoi kapangiwa chuo. Kama aliomba mwenyewe unataka apangiwe kuwa chawa?? Pambana usomeshe sisi hayatuhusu
 
Haya ni majibu ya mwana CCM aliyeshiba kande.
Huyu kumpa sifa ya kuwa mwana ccm umempandisha daraja, haya ni majibu ya mtu anaekaa kwa shemeji aikishashiba anasahau shughuli anayofanya dadake usiku. Kwa kuwa dada kamfurahisha shemeji, shemeji kamuachia hela ya bando na Noah kwenda kuchukuwa watoto shule anajiona tajiri.
 
Kazi kwenda kuvuruga mikutano ya chama pinzani, sasa hv unalia huku eti mtoto wa mlalahoi kapangiwa chuo. Kama aliomba mwenyewe unataka apangiwe kuwa chawa?? Pambana usomeshe sisi hayatuhusu
Hiyo mikutano inavurugwa vipi? isipovurugwa hata ikifanyika mchana hadi usiku ukitoka hapo lazima ukatafute hela ya kula na matumizi mengine.
 
Hiyo mikutano inavurugwa vipi? isipovurugwa hata ikifanyika mchana hadi usiku ukitoka hapo lazima ukatafute hela ya kula na matumizi mengine.
Sasa unalilia nini huku badala ya kwenda kutafuta pesa ya kusomesha mtoto. Vyuo hawapangiwi tu ni wao na chaguzi zao. Kama huna pesa uwe unampa somo mwanao mapema kuwa asichague chuo au afeli
 
Mpeleke huko VETA.
Kaa ukijua kuwa TAMISEMI hawawajazii wanafunzi fomu za kuomba kuchaguliwa unakodai TAMISEMI imewapeleka,ni ama wanafunzi wenyewe ama maelekezo yako wewe mzazi.
 
Saw nimekuelewa.
Sasa nakuomba unitajie VETA za serikali ambazo Wanafunzi wanaishi na kula hapo chuoni kama ilivyo kwa hivyo vyuo vya kati,nitajie hata viwili tu ili nami nimepeleke kijana wangu ili nikalipie hizo gharama kidogo.
 
Mpeleke huko VETA.
Kaa ukijua kuwa TAMISEMI hawawajazii wanafunzi fomu za kuomba kuchaguliwa unakodai TAMISEMI imewapeleka,ni ama wanafunzi wenyewe ama maelekezo yako wewe mzazi.
Watanzania wengi tumebaki kuwa wa kulialia tu. Sasa unazaa watoto wa nini kama hadi kusomesha. Ukute ndo alimwambia omba chuo, amechaguliwa na kuona figure ya ada kaanza kulia huku
 
Sasa unalilia nini huku badala ya kwenda kutafuta pesa ya kusomesha mtoto. Vyuo hawapangiwi tu ni wao na chaguzi zao. Kama huna pesa uwe unampa somo mwanao mapema kuwa asichague chuo au afeli
Tatizo uwelewa wako umishia hapo, jambo la kwanza kabisa sina mtoto aliyemaliza formu four mwaka huu lakini pia sina kumbukumbu ya mwanangu kuomba mkopo BODI ya mikopo. sijawahi kuwa na mtoto aliyepanda daladala au boda boda kwenda shule, sijawahi kuwa na mtoto aliyepanda basi la abiria kwenda na kurudi nyumbani pindi amalizapo shule. lakini haizui kuwazungumzia wengine ambao najua kabisa uwezo huo hawana tena ukiwemo na wewe. Nafuatilia Elimu kwa sababu naamini ktk elimu kama njia na msingi wa kuelekea mafanikio. Pia elewa wazi kuwa siyo kila mtoto amepangiwa kile alichochagua. Kuna wengi tu ambao hata hawakuwahi kusikia kama TAMISEMI walitoa nafasi ya wao kuomba kuabadilisha Taasusi. Mwisho kabisa mwanagu wa mwisho kati ya wanne yuko Form Four KITUNGWA ADVENTIST Secondary google ada Zao. alafu ndo urudi.
 
Saw nimekuelewa.
Sasa nakuomba unitajie VETA za serikali ambazo Wanafunzi wanaishi na kula hapo chuoni kama ilivyo kwa hivyo vyuo vya kati,nitajie hata viwili tu ili nami nimepeleke kijana wangu ili nikalipie hizo gharama kidogo.
NENDA WEBSITE YAO ANGALIA VYUO VYA VETA VYENYE BAORDING VIKO KIBAO
 
Hehehe masikini kila kitu nikulalamika.
Chuo Sio Kitu Cha mtu kupangiwa. Chuo unatakiwa uamue mwenyewe. Kozi mpaka chuo Cha kwenda pamoja na gharama. Serikali iongeze nguvu kwenye ujenzi wa shule za advance Ili Kila muhitimu wa kidato Cha Nne mwenye sifa apate nafasi. Anae taka kwenda chuo ataomba mwenyewe kwa hiyari yake. Huwezi kumpangia mtu taaluma ya kwenda kusoma kwa kuzingatia maamuzi Yako mwenyewe..!! That's absurd 😠😡
 
Kazi kwenda kuvuruga mikutano ya chama pinzani, sasa hv unalia huku eti mtoto wa mlalahoi kapangiwa chuo. Kama aliomba mwenyewe unataka apangiwe kuwa chawa?? Pambana usomeshe sisi hayatuhusu
Hujaelewa kasome tena..!! Ani hata application round ya kwanza haijaisha Wewe unasema kaomba mwenyewe kaomba wapi na lini..!?
 
UKO SAHIHI kabisa lakini ukikutana na baadhi ya wazazi ambao watoto wao wamehitimu form 2024 watoto wametupwa vyuoni, hasa wale wenye daraja la tatu
 
NAZANI KUNA MUONGOZO UPO LABDA UWE UMEBADILIKA WATOTO WANAOENDA VYUO BADALA YA ADVANCE KWA KUPANGIWA NA SERIKALI HAWALIPI NA WANASOMA VYUO VYA SERIKALI BURE KWA MIAKA YOTE HIYO.

KAMA KUNA MABADILIKO MTUAMBIE
 
Ukipitia ukurasa rasmi wa TAMISEMI, MTOTO anapangiwa chuo na anawekewa na gharama ya chuo husika, labda ngoja wasubiri kama utatoka muongozo kuhusu ADA.
 
NAZANI KUNA MUONGOZO UPO LABDA UWE UMEBADILIKA WATOTO WANAOENDA VYUO BADALA YA ADVANCE KWA KUPANGIWA NA SERIKALI HAWALIPI NA WANASOMA VYUO VYA SERIKALI BURE KWA MIAKA YOTE HIYO.

KAMA KUNA MABADILIKO MTUAMBIE
MARKETING IN TOURISM AND EVENT MANAGEMENTCollegeDODOMA CC - DODOMAAda: 1,020,000/- Muda wa Masomo (Miaka): 3 Mawasiliano ya Simu:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…