Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
cc Manyerere Jackton Adrian Stepp hawa waandishi.. watakusaidia
Nakumbuka kuna mtu humu nlimjibu kuwa mwaka huu hakuta kuwa nas awamu ya pili ya ajira za walimu ni bora ukafanya utaratibu kuomba shule binafsi.
Any newz
Naomba ushauri huu uzingatiwe. Kwenye jambo ani-PM. Tutaingia kazini kumsaidia. Huo ndiyo wajibu wetu kwa umma
Ndugu yangu hii ndo serikali inayojiita SERIKALI SIKIVU,lakini hamna lolote,ni shida tupu
sijakuelewa unamaanisha nini ndugu jackton
Kweli?
Ngoja tuone iyo siku inaishajeLets wait maana tar 1 bado ni ndefu mpaka saa 6 usiku
Wewe kama nani unaongea ivyo acha kuropoka unahoja
Ikiwa unajua kuwa huu ni mtandao wa kijamii na kila mtu anayo access ya kuingia haijalishi ni nani na anafanya kazi wapi na wala usiwe na imani kwamba waliopo humu woote ni watu wa sampuli yako yaani hawana kazi wapo tu mtaan. Plz note some thing.
Kiongozi kama unaona nakudanganya endeleen kusubiri hiyo awamu ya pili ila unatakiwa kufahamu kwamba awamu ya pili huwa ni kuziba mapengo ya wale ambao hawaja riport vituon kwa awamu ya kwanza na kwa taarifa ambazo zimesha asha kufika TAMISEMI kutoka halmashauri mbali mbali nchini idadi ya walio report vituon kwa mwaka huu imekuwa kubwa sana na kwa wale ambao hawajariport idadi yao imekuwa fixed na st.john ambao majina yao yalitoka baada ya ile hesabu ya 36000 kutangazwa, na unatakiwa kutambua kwamba idadi hii inakamilishwa na awamu zote mbili yaan ya kwanza na wasio report inakuwa fixed awamu ya pili na lazima idadi ifikie hiyo sababu ndiyo iliyo tengewa budget na hazina na si zaid, nafikiri kwa maelezo hayo nitakuwa nimeeleka vyema mwalimu wetu.
Sawa,na mara nyingi mtu anapolalamikia idara fulani juu ya jambo fulani hiyo idara inapaswa kutoa tamko,kwanini tamisemi wasifunguke basi,kuwa hatuajiri awamu ya pili kwa walimu?