To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Hakuna,nenda Ofisini Kwao moja kwa mojaWanataka pesa ndugu yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna,nenda Ofisini Kwao moja kwa mojaWanataka pesa ndugu yangu
Uhamisho saivi si kwenye mfumo wa pepmis?ess?Nilienda mwezi wa kumi na mbili wakanipanga pale ndo ikaisha hivo,nadhani yule mama wa pale mtumba naye alihitaji chochote
Huko utumishi unaambiwa jina lako liko kwenye process lakini utasubiri mpaka bas mimi hapa nasubiri sasa unaelekea mwakaNimeamua kulileta humu labda nitapata relief, ni hivi nilifanya maombi ya uhamisho wa kubadilishana ambapo kwa ngazi zote mpaka mkoani nilikamilisha japo kwa mbimbe nilitumia miezi mitano(ila kimsingi ni kazi ambayo haimalizi hata mwezi)watakuzungusha makusudi tu.
Baada ya hapo maombi yangu kutoka mkoani yalipelekwa mwezi wa sita TAMISEMI na hili nilijihakikishia mwenyewe, mwezi wa kumi majina yalitoka sikuwepo ikabidi nifunge safari niende TAMISEMI niliwakuta na jina langu lilikuwepo kwenye database na kuniambia wako kwenye process za kutuma barua na watatoa majina mapema iwezekanavyo.
Baada ya hapo nilifunga safari ya kurudi nyumbani nimekaa weee mpaka mwezi wa pili hola, nikapata mtu yeye aliahama akaniconnect kwa mtu wake nikaweka kiasi fulani cha kutangulia ili ishu ikikamilika nimalizie mpaka sasa jamaa hapatikani sijui kafariki ama amekuwaje?
Kiufupi nahisi kuchanganyikiwa, Mchengerwa naye kimya sijui nimlilie nani.
Nimedata kwakweli hata ukitukana sijali wala nina shida zangu zinanifanya niombe uhamisho tena kwa haraka
Nenda pale Tamisemi na docs zako zote usimtafute yeyote unayemfahamu ,wiki ijayo unahama bila kutoa hata sumni(pia jiamini usitie huruma sana)Asante kiufupi watu wanahama kila siku kwa hiyo na mimi nilitaka nijaribu baada ya process zote kufeli kama utaratibu inavyotaka, ko nimepigwa kama wengine
Sisi ni wale wa mkononi ilishaenda tamisemi tangu mwaka jana mwezi wa sita sina process ya kufanya tenaUhamisho saivi si kwenye mfumo wa pepmis?ess?
Ingia kwenye mfumo jaza,weka sababu wameziainisha unaselect,then upload CV yako,halafu mchek supervisor akupitishie nae online,then ikienda level nyingine Kuna boss wa kupitisha.
Mie nimejaza toka j5 iliyopita,bado kuaplod CV,then niwasiliane nabmkuu wa idara akupitishie,mengine ntajua mbele kwa mbele.
Huko utumishi unaambiwa jina lako liko kwenye process lakini utasubiri mpaka bas mimi hapa nasubiri sasa unaelekea mwaka
Nami ndo hivo ndugu yanguHuko utumishi unaambiwa jina lako liko kwenye process lakini utasubiri mpaka bas mimi hapa nasubiri sasa unaelekea mwaka
Ok,mie niliomba uhamisho mwaka Jana January toka Tabora,nikawa sijibiwi,nilikuwa napiga simu Sana,najibiwa subiria,iko kwenye mchakato na majibu mengine ya kisiasa.Sisi ni wale wa mkononi ilishaenda tamisemi tangu mwaka jana mwezi wa sita sina process ya kufanya tena
Dawa ni kuunga mkono Chadema tu CCM waondoke zao.Nimeamua kulileta humu labda nitapata relief, ni hivi nilifanya maombi ya uhamisho wa kubadilishana ambapo kwa ngazi zote mpaka mkoani nilikamilisha japo kwa mbimbe nilitumia miezi mitano(ila kimsingi ni kazi ambayo haimalizi hata mwezi)watakuzungusha makusudi tu.
Baada ya hapo maombi yangu kutoka mkoani yalipelekwa mwezi wa sita TAMISEMI na hili nilijihakikishia mwenyewe, mwezi wa kumi majina yalitoka sikuwepo ikabidi nifunge safari niende TAMISEMI niliwakuta na jina langu lilikuwepo kwenye database na kuniambia wako kwenye process za kutuma barua na watatoa majina mapema iwezekanavyo.
Baada ya hapo nilifunga safari ya kurudi nyumbani nimekaa weee mpaka mwezi wa pili hola, nikapata mtu yeye aliahama akaniconnect kwa mtu wake nikaweka kiasi fulani cha kutangulia ili ishu ikikamilika nimalizie mpaka sasa jamaa hapatikani sijui kafariki ama amekuwaje?
Kiufupi nahisi kuchanganyikiwa, Mchengerwa naye kimya sijui nimlilie nani.
Nimedata kwakweli hata ukitukana sijali wala nina shida zangu zinanifanya niombe uhamisho tena kwa haraka
Nina mashaka na elimu yako,aidha haikusaidii....uhamisho ni lazima.kuna watu wanatafuta ajira ya utumishi na wengine wanataka kuhama .kweli mwenye shibe muogope sana.
Acha kazi si unataka kuhama sijui ufike mjini
Uhamisho wa nini ujawakuta vijana wenzako wakitafuta hata kibarua mtaani.Nina mashaka na elimu yako,aidha haikusaidii....uhamisho ni lazima.
Unafikiri aliyeleta uhamisho alikuwa mjinga....lazima ujue kuhama kuna faida mbali mbali.Uhamisho wa nini ujawakuta vijana wenzako wakitafuta hata kibarua mtaani.
Unajua vijana mnatatizo moja mkiwa mjapata ajira mnaomba hata popote ila mkipewa mnataka kupangia watu.
Nilishaacha kuajiri vijana wanaweza kukufilisi
SOma vigezo na masharti safari hii nawasagia kunguni TAMISEMI.Unafikiri aliyeleta uhamisho alikuwa mjinga....lazima ujue kuhama kuna faida mbali mbali.
1. Kuleta ufanisi katika KAZI.
2. Kuimarisha ndoa na familia.
So huwezi kujua Kwa nini MTU anataka kuhama.
Kama wewe ni mwajiri basi Una matatizo Kwenye ubongo wako na utazeeka vibaya.