Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,994
- 4,729
- Thread starter
- #41
HongerOk,mie niliomba uhamisho mwaka Jana January toka Tabora,nikawa sijibiwi,nilikuwa napiga simu Sana,najibiwa subiria,iko kwenye mchakato na majibu mengine ya kisiasa.
Nikajipanga kifedha,nikaenda mtumba mwezi wa 6,wa 7 na wa 8,mwaka Jana,nimekuja pewa barua ya uhamisho kuja Mwanza mwezi wa 9 mwaka jana.
Sikutoa rushwa hata Mia,nilijipanga kifedha kwaajili ya logistics za usafiri,food na malazi,manake nilikuwa naenda nakaa siku 3,then wananirudisha Tabora kusainisha barua,then narudi Dom,hadi maajent wa mabasi ya Tabora to Dom walinikariri🤣🤣 etc
Usikate tamaa,Ila wapaswa kufatilia sana,bila hivo ,utasubiri Sana.
Hongera ulipambana sanaOk,mie niliomba uhamisho mwaka Jana January toka Tabora,nikawa sijibiwi,nilikuwa napiga simu Sana,najibiwa subiria,iko kwenye mchakato na majibu mengine ya kisiasa.