Hawezi kusema kwani hamna hata anayemuhofia,sa hivi kila kitu kinaenda hovyohovyo maana hamna mwenye command,mmeweka ghalasa pale nani analiogopa hata likitoa command wanalipuuza,Mheshimiwa Waziri Mchengerwa hebu tueleze shida ni NINI? hadi leo majina ya wanaoomba UHAMISHO hayajatoka hata kwa wale,wanaojigharamia wenyewe..
Uhamisho saivi si kwenye mfumo wa pepmis?ess?
Ingia kwenye mfumo jaza,weka sababu wameziainisha unaselect,then upload CV yako,halafu mchek supervisor akupitishie nae online,then ikienda level nyingine Kuna boss wa kupitisha.
Mie nimejaza toka j5 iliyopita,bado kuaplod CV,then niwasiliane nabmkuu wa idara akupitishie,mengine ntajua