REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Mawazo aliyoyatoa mbunge wa ubungo kilita mkumbo kuhusu kufuta cheo cha afisa elimu kata ni mazuri na yana tija kwani shughuli wanazofanya hao watu zinaweza kufanywa na mwalimu mkuu, au mkuu wa shule na tena serikali ikaokoa kiasi cha pesa kwani wanalipwa posho ya madaraka laki mbili na nusu Kila mwezi kwa majukumu ambayo yanaweza kufanywa na mkuu wa shule
Na asilimia kubwa hawa watu wanashinda vijiweni kwakutokua na majukumu mda wote so wapo kupiga porojo tu vijiweni na kutisha tisha walimu kwakutokosa majukumu yakufanya kwaiyo wazo la wao kurudi kufundisha lina mashiko warudi kuongeza nguvu kazi kama ambavyo mlifanya kwa walimu wale walioenda kufanya kazi halmashauri wamerudi kufundisha mashuleni upungufu wa walimu umezidi kupungua
Warudi kufundisha msipuuze wazo lake mh mbunge.