Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shule gani mkuu na michango inahusu nini?? Be specificNimeona nilete hii hoja hapa jukwaani ili wahusika waweze kuipata na ikiwezekana kuitolea ufafanuzi.Huko mashuleni sasa hivi kuna Michango ya hapa na pale.je? bila malipo imeisha??
Mtanikumbuka!Shule gani mkuu na michango inahusu nini?? Be specific
Wewe umechangia nini? Lini hakukuwa na michango?Nimeona nilete hii hoja hapa jukwaani ili wahusika waweze kuipata na ikiwezekana kuitolea ufafanuzi.Huko mashuleni sasa hivi kuna Michango ya hapa na pale.je? bila malipo imeisha??
Elimu bila ada. Hivyo, michango ipoNimeona nilete hii hoja hapa jukwaani ili wahusika waweze kuipata na ikiwezekana kuitolea ufafanuzi.
Huko mashuleni sasa hivi kuna Michango ya hapa na pale. Je, bila malipo imeisha?
Hatumkumbuki BTW wengine watoto zetu hawasomi hizo shule toka alipokuwepo so hainihusu mie na kizazi changu lakini nawaonea huruma "wanyonge" waliokuwa wanataka malaika waishi Kama mashetani labda niwaulize vipi mnateseka kutokea pande za wapi?Mtanikumbuka!
Sifa za kihaya!Hatumkumbuki BTW wengine watoto zetu hawasomi hizo shule toka alipokuwepo so hainihusu mie na kizazi changu lakini nawaonea huruma "wanyonge" waliokuwa wanataka malaika waishi Kama mashetani labda niwaulize vipi mnateseka kutokea pande za wapi?
Wengine hatujazoea dezo dezo hata enzi ya mtoa roho watu tulikomaa kusomeshwa watoto private Tena parefu sana Ila ndio hivyo hatujazoea dezo dezo.
Wale wanyonge wenye wivu na husuda walikuwa na wimbo wao eti"sasa tutaheshimiana" haya njooni tuheshimiane. Mchango wa elfu tano unalalamika JF halafu uheshimiane na mtu anayesomesha mtoto mmoja Ada zaidi ya 6.7 million kwa mwaka?
Umasikini plus wivu ni uchawi,
Ha ha ha mkuu kuchangia siwezi shindwa ila serikali ya ccm imeshasema elimu bure waseme kama wameridhia tuchange.Harusi unachangia! Misiba unachangia! Matibabu hospitalini, unachangia! Ukiambiwa uchangie elimu, unang'aka!
Changia kidogo bhana mtoto asome.
Wanyonge wapo wapi wale waliosherehekea matajiri kuishi Kama mashetani????Sifa za kihaya!
LipeniDar temeke Bwawani primary school kijichi watoto wanalazimishwa kulipa hela ya mlinzi!
Mkuu bila ulinzi shuleni mateja watenda kupuu madarasani, wototo watashindwa kusomaDar temeke Bwawani primary school kijichi watoto wanalazimishwa kulipa hela ya mlinzi!
Wanyonge FC na bado. Lakini muwe na aibu basi hata bukubuku hamtaki kuchanga dah ndio maana mlimuona bwana yule Kama mungu wenu.Nimeona nilete hii hoja hapa jukwaani ili wahusika waweze kuipata na ikiwezekana kuitolea ufafanuzi.
Huko mashuleni sasa hivi kuna Michango ya hapa na pale. Je, bila malipo imeisha?
Hiyo ni elimu bila ada,michango iko palepale...ikikuchosha rudisha mtoto nyumbani achunge ng'ombe.Nimeona nilete hii hoja hapa jukwaani ili wahusika waweze kuipata na ikiwezekana kuitolea ufafanuzi.
Huko mashuleni sasa hivi kuna Michango ya hapa na pale. Je, bila malipo imeisha?
Unaona kuchunga ng'ombe sio jambo zuri??? Au kazi ya hovyo?? Mkuu The Hyper.Hiyo ni elimu bila ada,michango iko palepale...ikikuchosha rudisha mtoto nyumbani achunge ng'ombe.