TAMISEMI na Wizara ya Elimu, michango mashuleni imerudi?

F4B

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2022
Posts
336
Reaction score
429
Nimeona nilete hii hoja hapa jukwaani ili wahusika waweze kuipata na ikiwezekana kuitolea ufafanuzi.

Huko mashuleni sasa hivi kuna Michango ya hapa na pale. Je, bila malipo imeisha?
 
Nimeona nilete hii hoja hapa jukwaani ili wahusika waweze kuipata na ikiwezekana kuitolea ufafanuzi.Huko mashuleni sasa hivi kuna Michango ya hapa na pale.je? bila malipo imeisha??
Shule gani mkuu na michango inahusu nini?? Be specific
 
Nimeona nilete hii hoja hapa jukwaani ili wahusika waweze kuipata na ikiwezekana kuitolea ufafanuzi.Huko mashuleni sasa hivi kuna Michango ya hapa na pale.je? bila malipo imeisha??
Wewe umechangia nini? Lini hakukuwa na michango?
 
Waliwaambia wanatoa elimu bila ada na sio bure.
Kuna waraka unaruhusu michango ya hiari endapo wazazi wataridhia.
 
Harusi unachangia! Misiba unachangia! Matibabu hospitalini, unachangia! Ukiambiwa uchangie elimu, unang'aka!

Changia kidogo bhana mtoto asome.
 
Nimeona nilete hii hoja hapa jukwaani ili wahusika waweze kuipata na ikiwezekana kuitolea ufafanuzi.

Huko mashuleni sasa hivi kuna Michango ya hapa na pale. Je, bila malipo imeisha?
Elimu bila ada. Hivyo, michango ipo
 
Mtanikumbuka!
Hatumkumbuki BTW wengine watoto zetu hawasomi hizo shule toka alipokuwepo so hainihusu mie na kizazi changu lakini nawaonea huruma "wanyonge" waliokuwa wanataka malaika waishi Kama mashetani labda niwaulize vipi mnateseka kutokea pande za wapi?

Wengine hatujazoea dezo dezo hata enzi ya mtoa roho watu tulikomaa kusomeshwa watoto private Tena parefu sana Ila ndio hivyo hatujazoea dezo dezo.

Wale wanyonge wenye wivu na husuda walikuwa na wimbo wao eti"sasa tutaheshimiana" haya njooni tuheshimiane. Mchango wa elfu tano unalalamika JF halafu uheshimiane na mtu anayesomesha mtoto mmoja Ada zaidi ya 6.7 million kwa mwaka?

Umasikini plus wivu ni uchawi,
 
Dar temeke Bwawani primary school kijichi watoto wanalazimishwa kulipa hela ya mlinzi!
 
Hatumkumbuki BTW wengine watoto zetu hawasomi hizo shule toka alipokuwepo so hainihusu mie na kizazi changu lakini nawaonea huruma "wanyonge" waliokuwa wanataka malaika waishi Kama mashetani labda niwaulize vipi mnateseka kutokea pande za wapi?

Wengine hatujazoea dezo dezo hata enzi ya mtoa roho watu tulikomaa kusomeshwa watoto private Tena parefu sana Ila ndio hivyo hatujazoea dezo dezo.

Wale wanyonge wenye wivu na husuda walikuwa na wimbo wao eti"sasa tutaheshimiana" haya njooni tuheshimiane. Mchango wa elfu tano unalalamika JF halafu uheshimiane na mtu anayesomesha mtoto mmoja Ada zaidi ya 6.7 million kwa mwaka?

Umasikini plus wivu ni uchawi,
Sifa za kihaya!
 
Harusi unachangia! Misiba unachangia! Matibabu hospitalini, unachangia! Ukiambiwa uchangie elimu, unang'aka!

Changia kidogo bhana mtoto asome.
Ha ha ha mkuu kuchangia siwezi shindwa ila serikali ya ccm imeshasema elimu bure waseme kama wameridhia tuchange.
 
Sifa za kihaya!
Wanyonge wapo wapi wale waliosherehekea matajiri kuishi Kama mashetani????

Unamchukia mtu kisa amekuzidi akili, uwezo wa pesa, nyumba, mke, watoto, shamba, mifugo nk, Yani sababu za kijinga kabisa kwani nani aliwakataza wao kutafuta hela? Nani aliwakataza kuiba? Nani aliwakataza kulima, nani aliwakataza kufuga kisasa?

Chuki zilizopandwa na Magufuli kwenye jamii ndio watavuna walichokuwa wanashangilia walizoea dezo dezo tu dume zima unazalisha watoto halafu akusomeshee Nani???

Walipe michango Yani unakuta mchango 3000 dume zima linanunua vocha linalalamika JF wakati asingenunua vocha angempa mtoto mambo yangeisha.

Tunarithisha watoto tabia za kimasikini sana baba mzima unalalamika mchango wa mwanao elfu tatu na unasomeshewa mtoto bure kabisa mwaka mzima.

It's such a shame hata ukisema nina madharau wacha nimdharau mzazi anayetegemea asichange hata elfu moja Yani azae tu.
 
Nimeona nilete hii hoja hapa jukwaani ili wahusika waweze kuipata na ikiwezekana kuitolea ufafanuzi.

Huko mashuleni sasa hivi kuna Michango ya hapa na pale. Je, bila malipo imeisha?
Wanyonge FC na bado. Lakini muwe na aibu basi hata bukubuku hamtaki kuchanga dah ndio maana mlimuona bwana yule Kama mungu wenu.

Mtegemea Cha ndugu hufa masikini, na usifuge mbwa kwa kutegemea mavi ya walevi. Unapozaa mtoto ndio ujue utapata wapi ada hebu jiulize akija Rais mwingine akasema anarudisha ada kwenye hizi public schools utafanyaje??

Michango yenyewe unakuta 3000 jamani hii nayo tukae tuijadili ingali mwanao anasoma bure mwaka mzima na madawati wamepewa mapya plus madarasa mapya kwa kodi zetu wote?
 
Nimeona nilete hii hoja hapa jukwaani ili wahusika waweze kuipata na ikiwezekana kuitolea ufafanuzi.

Huko mashuleni sasa hivi kuna Michango ya hapa na pale. Je, bila malipo imeisha?
Hiyo ni elimu bila ada,michango iko palepale...ikikuchosha rudisha mtoto nyumbani achunge ng'ombe.
 
Unaona kuchunga ng'ombe sio jambo zuri??? Au kazi ya hovyo?? Mkuu The Hyper.
 
Back
Top Bottom