chemichemi
Senior Member
- Apr 5, 2014
- 116
- 3
Tangu watoe ajira za walimu,kuna wahitimu wengi wavyuo mbalimbali tumekosa ajira mfano mimi chuo chetu korogwe tupo stashahada takribani 195 tumekosa ajira,hutuwezi kulazimisha serikali itupe ajira hapana lakini kwanini wengine wapewe na sisi tunyimwe,au sisi sio watanzania,mtoe tamko juu ya swalahili tujue nivigezo gani mmevitumia katika upangaji wa ajira??

Arstotle;
ile fomu ilikua na lengo la kutuondoa na kuturidhisha kisaikolojia katika ofisi zao,maana mpaka sasa hakuna jipya
HATA TAMKO HAKUNA!!!.
-------- wewe , ukionna haupo jua ulifeli una sap
labda walikuwa wanafanya sensa jamani ndo maana wakatuambia tuandike majina na vyuo
Sulle: mi nahisi kitu kama icho at the end mchezo unakuaje
Wadau JF mwaonaje tupange siku,ili tukapate hatima yetu tamisemi!