Serikali inaajiri kwa idadi na mahitaji. Sasa kama watu wamehenea wakiwaajiri watawaweka wapi? Na kuwalipa nini? Au mnataka kujitolea!
Usingee kitu usichokijuwa wewe kama nani tamisemi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali inaajiri kwa idadi na mahitaji. Sasa kama watu wamehenea wakiwaajiri watawaweka wapi? Na kuwalipa nini? Au mnataka kujitolea!
Wadau JF mwaonaje tupange siku,ili tukapate hatima yetu tamisemi!
Pendekezeni siku
Tangu watoe ajira za walimu,kuna wahitimu wengi wavyuo mbalimbali tumekosa ajira mfano mimi chuo chetu korogwe tupo stashahada takribani 195 tumekosa ajira,hutuwezi kulazimisha serikali itupe ajira hapana lakini kwanini wengine wapewe na sisi tunyimwe,au sisi sio watanzania,mtoe tamko juu ya swalahili tujue nivigezo gani mmevitumia katika upangaji wa ajira??
rolla
hapa tupo kwaajili ya sisi wenye shida kama kichwa cha habari mada kinavyo jieleza,sasa kama wewe haikuhusu na kama huwezi tusaidia chochote zaidi yakutukatisha tamaa tafadhali sana kua mstarabu na upite na zako ,kwani hakuna anajua nikwajinsi gani tumeumizwa na jambo hili.
Acheni kufuru nyie.... kuna watu wanatembea na bahasha miaka na miaka hawana kazi.... wewe mwezi mmoja tuu unaanza kupiga mayowe......:what::what:
Sikatai unayo yasema lakini kumbuka huwezi kuanzisha kituo chako binafsi kama huna fedha!!!Mjikusanye muanzishe hata tuition centres baadae mtamiliki hata shule zenu wenyewe,kulia na TAMISEMI ni utumwa wa fikra
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Acheni kufuru nyie.... kuna watu wanatembea na bahasha miaka na miaka hawana kazi.... wewe mwezi mmoja tuu unaanza kupiga mayowe......:what::what:
Ivi haw wanaotowa kashfa awajuwi kuwa mitandao yakijamii ni source kubwa ya information hapa tz
kuweni wavumilivu
wazo zuri na ikbid tahehe 1/5/2014 tuwe pale makao makuu domWadau JF mwaonaje tupange siku,ili tukapate hatima yetu tamisemi!
wazo zuri na ikbid tahehe 1/5/2014 tuwe pale makao makuu dom
Mimi ningependekeza tumtafute mhariri wa gazeti mfano majira,mwananchi ama nipashe wafuatilie swala hili kwanza ili ikishindikana twende huko dom