Tamisemi na wizara ya elimu tunaomba mtoe tamko kwa sisi tulio kosa ajira

Namba ya mhariri gazeti la mwananchi hii hapa 0754780647
Mimi nimesha mpigia nakumwelezaea sasa ilikumshinikiza inatubidi kila mmoja wetu ampigie iliafuatilie nakutupa tamko rasmi toka TAMISEMI
 
safi sana mkuu mi ntamcheki uyo jamaa
 
serikali hii ni chongo kwa hiyo inatazama upande mmoja hadi watu wapige kelele ndo inageukia upande wapili.,,poleni sana
 
Mi nashangaa kweli,kwa hali hii is brn possible to be achieved?
 
Mtaani Kumenichosha! Tamisemi mbona kimya?? eee Mungu tukumbuke.

Daah!!kunachosha jamani na kila unapo kwenda kuomba hata tempo wanakuambia hatutaki HIST/GEO wanakuambia tunataka SAYANSI,KISW,ENG,FRENCH & MICHEZO na mwaka huu wengi tulio achwa ni wa hist/geo ,sijui tutakwenda wapi sisi???????????
 
dah!tuvumilie tu,hao wanaotaka walimu wa English na kiswahili waje wanichukue kama wanaeleweka
 
Mwaka Sasa toka toka tumehitimu kwanini tusichoke? hata kama subira yavuta heri,, tumesubiri sana.

Sasa tufanyeje ndugu yangu,ndo ivo tumesubiri mwaka mzima na bado wanatusihi tuendelee kusubiri,duh! hii ndo tanzania bhana
 
Kwani lazima muajiriwe na serikali? Nenda shule za private ila kule lazima muwe competent enough na muwe tayari kufanya kazi, siyo kuleta longolongo zenu. Mkitaka longolongo subirini ajira za serikali zitoke
 
Private wenyewe longolongo kibao tu
 
Bora hata tungekuwa tumeenda jkt kuliko kukaa kitaa,hata jamii inatushangaa kwa jinsi tulivokuwaga busy na kitabu na tumekuwa teachers by professional lakn hatupewi ajira rasmi tuliyoahidiwa na serikali yetu inayojiita "serikali sikivu"
 
Back
Top Bottom