Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau JF mwaonaje tupange siku,ili tukapate hatima yetu tamisemi!
Jaman mshahara mtamuu sana ingawa mdogo ila nimtamu..!
Ila komaeni mpaka kiel.
jamani wakuu,hivi kuna aliyeweza kwenda tamisemi baada ya hao sjut dom kuajiriwa?
Hapo inaonyesha kutokana na idadi yetu maana nasikia wahitimu takribani 3000,hawakupangiwa,kwhyo chemichemi hyo maanake nini?
Hapo inaonyesha kutokana na idadi yetu maana nasikia wahitimu takribani 3000,hawakupangiwa,
Kuna uwezekano wakupangiwa tena maana kuna watu wamekimbia vituo vyao na wengine hawakwenda kabisa,ila kwaidadi hiyo sidhani kama tutapangiwa wote?!?!?!?!
Hizi ni fununu tu ndugu.Mh mkuu mbona unatisha watu izo data umezitowa wapi
ah!hatufiki idadi hyo bhana
Mimi mwenyewe nilishangazwa sana!
Sikatai unayo yasema lakini kumbuka huwezi kuanzisha kituo chako binafsi kama huna fedha!!!
AFREEN(AFRICAN EDUCATION EMPOWERMENT NETWORK)
Mamlaka hazisomi Jamii forum.Tafadhari fika ofisi za wausika ili upate ufafanuzi.Usiogope ofisi,zile ni za kwako nawe mwananchi ndo muajiri wetu.
Naongea mi si TAMISEMI ila Mwalimu aliye amua kujiajiri.KARIBU AFREEN tushirikiane.
Acha akili mgando, pesa ni namna utakavyotumia ubongo wako!
dah!huku mtaani kwetu mpaka wanadiriki kuongea kuwa nimesup jamani,tamisemi please mtuhurumiage jamani
Ata mie sulle ujuwe wananiambiaje et nilijidai msomi si bora ningekuwa boda boda kama wao
-------- wewe , ukionna haupo jua ulifeli una sap