chemichemi
Senior Member
- Apr 5, 2014
- 116
- 3
Tangu watoe ajira za walimu 2013/2014,kuna wahitimu wengi wa vyuo mbalimbali tumekosa ajira mfano mimi chuo chetu korogwe tupo stashahada takribani 195 tumekosa ajira,hatuwezi kuilazimisha serikali itupatie ajira hapana;lakini swali ni kwanini wengine wapewe ajira na sisi tunyimwe,au sisi sio watanzania,mtoe tamko juu ya swalahili tujue nivigezo gani mmevitumia katika upangaji wa ajira??