chemichemi
Senior Member
- Apr 5, 2014
- 116
- 3
- Thread starter
-
- #101
POLE MKUU: VP UNASUBIRI WAKUJIBU HUMU JF???:frusty:
Sulle23
Usiwaze kama ipo,ipo tu!.
Nimejifunza mengi sana huku mtaani,kweli ukipata kazi usifanye mchezo nayo.Ni kweli ndugu,ila tumekoma mwaka huu,hata tukiajiriwa tutakuwa tumepata la kusimulia kwa wanetu
Nasikia pale Dodoma TAMISEMI kuna tangazo linalo husu sisi tulio kosa ajira ,anaye fahamu naomba atujuze .
Nasikia pale Dodoma TAMISEMI kuna tangazo linalo husu sisi tulio kosa ajira ,anaye fahamu naomba atujuze .
Limetolewa lini ilo mkuu
sasa kwnn usimuulize vizuri huyo uliyemsikia?
Private wenyewe longolongo kibao tu
Halafu mi naona si vyema kusubiri kuajiriwa. Jijengeeni mazingira ya kujiajiri.
Poleni Kama Ipo Mtapata Tu
vipi wakuu,mpango wa tar 1?
Tatizo Hilo linatokea Kila mwaka. Ni matatizo ya kawaida kwa watumishi wetu wakipata kazi ya kuajiri idadi kubwa kama hiyo. Jambo la msingi Ofisi zinafahamika nenda kawabane pale wasumbue waone kero. Usiwasubiri hiyo ni haki yako kikatiba
vipi wakuu,mpango wa tar 1?
Sulle: ila tarehe 1 so mbali ivi munaonaje tukakutana pale offic za tamisemi wakuu.