Tamisemi na wizara ya elimu tunaomba mtoe tamko kwa sisi tulio kosa ajira

Tamisemi na wizara ya elimu tunaomba mtoe tamko kwa sisi tulio kosa ajira

Nimeckia kuanzia tar 28 watatoa majina kwa waliokosa,sasa cjajua kama watatoa kwa watu wote,but the preority to the science and language takers.
 
Halafu mi naona si vyema kusubiri kuajiriwa. Jijengeeni mazingira ya kujiajiri.
 
Tatizo Hilo linatokea Kila mwaka. Ni matatizo ya kawaida kwa watumishi wetu wakipata kazi ya kuajiri idadi kubwa kama hiyo. Jambo la msingi Ofisi zinafahamika nenda kawabane pale wasumbue waone kero. Usiwasubiri hiyo ni haki yako kikatiba
 
Sawa mkuu,asante sana.
 
Sulle: ila tarehe 1 so mbali ivi munaonaje tukakutana pale offic za tamisemi wakuu.

Mcharge
Tatizo hakuna uhamasishaji katika jambo hili,na hatakama upo lakini ni mdogo sana,mimi nipo tayari kwa tar 1 /5
 
Back
Top Bottom