Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
[emoji23][emoji23][emoji23]Basi tutoe ada halafu michango watoe wao. CCM ni janga.
Hahahahaa yani serikali haijielewi hii.Kumbe hii ndiyo maana ya Elimu Bure
He he eeeee sisiemu kwa kupinduka tik Tak wapo vizuri wangekuwa wanatumia rafu hizo kuleta maendeleo tungekuwa mbali sanAmsibadilishe kauli - sisi tunajua msimamo wa Serikali ilikuwa Elimu BURE hadi kidato cha nne... masuala ya kubadilisha sentensi na kuwa eti Elimu bila Ada sisi halituhusu na hatulitambui.
Mbona hamkuyasema haya wakati marehemu akiwa hai - msituchanganye !!
𝚃𝚞𝚜𝚒𝚖𝚜𝚒𝚗𝚐𝚒𝚣𝚒𝚎 𝚑𝚊𝚝𝚞𝚓𝚊𝚠𝚊𝚑 𝚔𝚞𝚔𝚞𝚜𝚊𝚗𝚢𝚊 𝚝𝚛𝚒𝚘𝚗 2 𝚔𝚠𝚊 𝚖𝚠𝚎𝚣𝚒 𝚣𝚊𝚒𝚍𝚒 𝚝𝚞𝚕𝚒𝚔𝚞𝚜𝚊𝚗𝚢𝚊 𝚝𝚛𝚒𝚘𝚗 1.6Mapato kwa mwezi kutoka trion mbili hadi trion 1.2 na bado huko yatashika hadi b 800 si anataka watu walipe kodi kwa kubebelezwa