TAMISEMI: Serikali inatoa elimu bila ada sio elimu bure

TAMISEMI: Serikali inatoa elimu bila ada sio elimu bure

Bure inayozungumziwa ni ada lakini kuhusu michango haijawai kukoma hata siku moja sisi tunaosomesha tunalijua hili
 
Kwani wanaogopa nini kukiri kuwa sera hii imefeli.

Hivi huenda bado Magufuli anaogopwa eehh.

Aisee... Ana Mzimu mkali sanaa.
Haswaa..
Wananchi wanapaswa kuambiwa ukweli huu sera imefeli..
 
Msibadilishe kauli - sisi tunajua msimamo wa Serikali ilikuwa Elimu BURE hadi kidato cha nne, masuala ya kubadilisha sentensi na kuwa eti Elimu bila Ada sisi halituhusu na hatulitambui.

Mbona hamkuyasema haya wakati marehemu akiwa hai - msituchanganye.
Wakati Wa uwongo ushapita ,kama ulikua hujui basi huo ndio ukweli wenyewe
 
Kum.m.ke walahi. CCM ni chama cha majizi a.k.a mafisi. Wao bungeni wanajilipa 13M kwa mwezi ila wananchi wanunue hadi chaki.
JamiiForums-460750266.jpeg
 
Bure inayozungumziwa ni ada lakini kuhusu michango haijawai kukoma hata siku moja sisi tunaosomesha tunalijua hili
Kuna sehem hawatoi kabsa michango mfano ushetu huko na ni kweli but kwa hii watu wataacha shule wengi mno ht wenye uwezo mzuri ujue
 
Sasa huoni kwamba CCM wanamgeuka mwendazake hata mwaka haujapita.
Mkuu ccm kazi yao kuchezea akili zetu tu
Hoja zao utafikili nchi ilitawaliwa na chama kingine vile.
Ngoja mama Stoke then utaona Rais ajae anamponda mama utafikili yeye alikua chama kingine
 
Back
Top Bottom