TAMISEMI siyo vibaya kama mtasema ni lini selection ya ajira kwenye sekta ya afya na elimu itatoka

Mkuu siwezi kupanic lakini nakuambia tu kuwa haya mambo hatufai kuwa na haraka nayo na tujifanye kama tumesahau huku tukifanya shughuli nyingine za kutukwamua, na ikitokea tumo tumshukuru mungu na kama tukiwemo basi tutamshukuru mungu zaidi.
Kwani nimesema nimeomba boss hahaha usipaniki mimi sipo huko kwa sasa boss.
 
Amina mkuu, umeeleweka sana, sema ulijibu kwa ukali sana mzee nikajua mtu wa shari.
Mkuu siwezi kupanic lakini nakuambia tu kuwa haya mambo hatufai kuwa na haraka nayo na tujifanye kama tumesahau huku tukifanya shughuli nyingine za kutukwamua, na ikitokea tumo tumshukuru mungu na kama tukiwemo basi tutamshukuru mungu zaidi.
 
Hahahah sahihi mkuu, upo afya au elimu
Afya mkuu, nilikuwa sitaki kutoka mjini lakini mwaka huu nikaona ngoja niondoke tu mjini kwa kuomba hizi nafasi nilikuwa sijawahi kuomba toka nimemaliza chuo 2020, japo home na mitaani wanasema kama nikichaguliwa nitapelekwa huko vijijini, kwasasa nipo tyr acha nikapambane hata huko, maadam ni hiki kipindi cha mama yetu hamna shida nahitaji kulamba asali, kwenye hilo buyu la asali.
 
Sahihi mkuu,security ya kazi ni muhimu sana
 
Alokwambia kuna kulamba asali zaidi ya stress ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…