TAMISEMI siyo vibaya kama mtasema ni lini selection ya ajira kwenye sekta ya afya na elimu itatoka

Watoe chap tujue tunaendelea kukalia mbao ndefu au tunaingia kukiputa
Week ijayo wataanza kufanya verification ya majina ya watu waliochaguliwa, yatapitiwa tena kwa kuangalia vigezo, kwasasa wamemaliza kuchagua watu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…