NILIVOISANUKIA HII NAFASI
Kabla hazijatoka , mwanzon huko nilikutana na lecturer wangu mko mwingn ambako ndio home, akaniambia kama unataka kujitolea nend hapo hospital ya rufaa, kuna social welfare department ,nilishangaa maana nilikuw sijui, ila nikapeleka barua hvyo hvyo..
Sasa zilipotoka hizi za afya na elimu mwanzon sikuzitilia mkazo , ila kun day nimekaa nikakumbul why lecturer alinambia nipeleka barua hospital ya rufaa, nikapata wazo ngoja nichek hizi za afya wametoa post kuwahusu akina nan na nan!? Kuja kuchek ndipo nikakutana na Social welfare officer post
Sikuchelewa niliapply hapo hapo
Kuna wadau wengi sana wameshidnwa kuzing'amua pale.