Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Hapo hapo wanakuambia aliyemaliza mwanzo ndio mwenye kigezo cha kuajiriwa na Kuna watu wamemaliza chuo 2018 kuja chini sasa unabaki unajiuliza wanamdanganya nani ? Yaani wazir mzima unanitisha press na kudanganya umma? Ujinga kabisa .Kweli mkuu co nmeona 19 na 20 ndo wengi
Labda wa miaka ya nyuma wengi ni chadema labda hahahaHapo hapo wanakuambia aliyemaliza mwanzo ndio mwenye kigezo cha kuajiriwa na Kuna watu wamemaliza chuo 2018 kuja chini sasa unabaki unajiuliza wanamdanganya nani ? Yaani wazir mzima unanitisha press na kudanganya umma? Ujinga kabisa .
Hamuwez kupata wote,malalamiko hayawez kukosa..wengine walizingua kwenye masharti ya kuomba ingawa walimaliza miaka ya nyuma.Hapo hapo wanakuambia aliyemaliza mwanzo ndio mwenye kigezo cha kuajiriwa na Kuna watu wamemaliza chuo 2018 kuja chini sasa unabaki unajiuliza wanamdanganya nani ? Yaani wazir mzima unanitisha press na kudanganya umma? Ujinga kabisa .
Ni kweli hatuwez kupata wote nakubali ila haki ionekane kutendeka kulingana na priorities walizoweka wao wenyewe, haiwezekani watu wote waliomaliza kabla ya 2019 wakazingua kwenye masharti.Hamuwez kupata wote,malalamiko hayawez kukosa..wengine walizingua kwenye masharti ya kuomba ingawa walimaliza miaka ya nyuma.
Kwaiyo wote wa miak ya nyuma walikosea mashar mbona unakua kama ccm nduguHamuwez kupata wote,malalamiko hayawez kukosa..wengine walizingua kwenye masharti ya kuomba ingawa walimaliza miaka ya nyuma.
Bahati mbaya hakuna kiambatanisho Cha kadi ya Chama mkuu[emoji23]Labda wa miaka ya nyuma wengi ni chadema labda hahaha
Kwani wote wa miaka ya nyuma wamekosa...au hujaona kuw kuna wengine wamepata...Acha kukaza ubongo mzee...na kila mtu ana bahati yake...kuna wanaoshangilia na wanaohuzunika sahiv na ndio maisha ,serikal haiwez chukua jobless woteKwaiyo wote wa miak ya nyuma walikosea mashar mbona unakua kama ccm ndugu
Watu kibao wa 2020 wamo lakini kuna wana kibao wa 2019 na 2018 hawamo, naomba msimlaumu, pili ulitaka wa zamani waachwe mchukuliwe nyie wa mwaka jana? ACHENI LAWAMA ZA KIJINGA, mimi sijachaguliwa lakini naridhika najua wakati wangu bado.Mama Samia anajitahidi ila mawazir wake ni watu wa hovyo kama huyo Kairuki hamna kitu, wametengeneza system ya kuwachuja watu wa afya waliomaliza 2018 kushuka chini sijui lengo lao ni lipi
Hujachaguliwa wapi unatuzuga tuWatu kibao wa 2020 wamo lakini kuna wana kibao wa 2019 na 2018 hawamo, naomba msimlaumu, pili ulitaka wa zamani waachwe mchukuliwe nyie wa mwaka jana? ACHENI LAWAMA ZA KIJINGA, mimi sijachaguliwa lakini naridhika najua wakati wangu bado.
Hujaelewa, point ni kwamba kwann uchukue wa 2019 na 2020 wakati Kuna watu wa 2018,2017,2026 nk kama kigezo kilikuwa mwaka wa kumaliza?Watu kibao wa 2020 wamo lakini kuna wana kibao wa 2019 na 2018 hawamo, naomba msimlaumu, pili ulitaka wa zamani waachwe mchukuliwe nyie wa mwaka jana? ACHENI LAWAMA ZA KIJINGA, mimi sijachaguliwa lakini naridhika najua wakati wangu bado.
Watasubiri mwaka ujao wa uchaguzi hakuna shida hapo mkuuPia mbona majina yapo 5000 wakati walisema 8100 kitu kama icho sasa 3000 yamenda wapi
Wengi walioajiriwa ni kuanzia 2019 kuja juu wakat Kuna watu wamemaliza Toka 2015 huko na wamesema kigezo ni umri na mwaka wa kumaliza chuo ndio kigezo kikuu sasa kwann wameachwa?
Mkuu me toka huu uzi umeanza jaribu kunifatilia, siwez kuzuga wana.Hujachaguliwa wapi unatuzuga tu
Sawa mkuu nimekupata asee, hapo wamezingua asee, au labda hatukuwa na vigezo au ndio bahati.Hujaelewa, point ni kwamba kwann uchukue wa 2019 na 2020 wakati Kuna watu wa 2018,2017,2026 nk kama kigezo kilikuwa mwaka wa kumaliza?
Hii nchi ukiifatilia kiharusi na presha navyo vitakufatiliaHapo hapo wanakuambia aliyemaliza mwanzo ndio mwenye kigezo cha kuajiriwa na Kuna watu wamemaliza chuo 2018 kuja chini sasa unabaki unajiuliza wanamdanganya nani ? Yaani wazir mzima unanitisha press na kudanganya umma? Ujinga kabisa .