TAMISEMI siyo vibaya kama mtasema ni lini selection ya ajira kwenye sekta ya afya na elimu itatoka

Kweli mkuu co nmeona 19 na 20 ndo wengi
Hapo hapo wanakuambia aliyemaliza mwanzo ndio mwenye kigezo cha kuajiriwa na Kuna watu wamemaliza chuo 2018 kuja chini sasa unabaki unajiuliza wanamdanganya nani ? Yaani wazir mzima unanitisha press na kudanganya umma? Ujinga kabisa .
 
Labda wa miaka ya nyuma wengi ni chadema labda hahaha
 
Hapo hapo wanakuambia aliyemaliza mwanzo ndio mwenye kigezo cha kuajiriwa na Kuna watu wamemaliza chuo 2018 kuja chini sasa unabaki unajiuliza wanamdanganya nani ? Yaani wazir mzima unanitisha press na kudanganya umma? Ujinga kabisa .
Hamuwez kupata wote,malalamiko hayawez kukosa..wengine walizingua kwenye masharti ya kuomba ingawa walimaliza miaka ya nyuma.
 
Ni kweli hatuwez kupata wote nakubali ila haki ionekane kutendeka kulingana na priorities walizoweka wao wenyewe, haiwezekani watu wote waliomaliza kabla ya 2019 wakazingua kwenye masharti.
 
Mama Samia anajitahidi ila mawazir wake ni watu wa hovyo kama huyo Kairuki hamna kitu, wametengeneza system ya kuwachuja watu wa afya waliomaliza 2018 kushuka chini sijui lengo lao ni lipi
Watu kibao wa 2020 wamo lakini kuna wana kibao wa 2019 na 2018 hawamo, naomba msimlaumu, pili ulitaka wa zamani waachwe mchukuliwe nyie wa mwaka jana? ACHENI LAWAMA ZA KIJINGA, mimi sijachaguliwa lakini naridhika najua wakati wangu bado.
 
Hujachaguliwa wapi unatuzuga tu
 
Watu kibao wa 2020 wamo lakini kuna wana kibao wa 2019 na 2018 hawamo, naomba msimlaumu, pili ulitaka wa zamani waachwe mchukuliwe nyie wa mwaka jana? ACHENI LAWAMA ZA KIJINGA, mimi sijachaguliwa lakini naridhika najua wakati wangu bado.
Hujaelewa, point ni kwamba kwann uchukue wa 2019 na 2020 wakati Kuna watu wa 2018,2017,2026 nk kama kigezo kilikuwa mwaka wa kumaliza?
 
Hii nchi ngumu sana hii.
Wengi walioajiriwa ni kuanzia 2019 kuja juu wakat Kuna watu wamemaliza Toka 2015 huko na wamesema kigezo ni umri na mwaka wa kumaliza chuo ndio kigezo kikuu sasa kwann wameachwa?
 
Hujaelewa, point ni kwamba kwann uchukue wa 2019 na 2020 wakati Kuna watu wa 2018,2017,2026 nk kama kigezo kilikuwa mwaka wa kumaliza?
Sawa mkuu nimekupata asee, hapo wamezingua asee, au labda hatukuwa na vigezo au ndio bahati.
 
Hapo hapo wanakuambia aliyemaliza mwanzo ndio mwenye kigezo cha kuajiriwa na Kuna watu wamemaliza chuo 2018 kuja chini sasa unabaki unajiuliza wanamdanganya nani ? Yaani wazir mzima unanitisha press na kudanganya umma? Ujinga kabisa .
Hii nchi ukiifatilia kiharusi na presha navyo vitakufatilia
 
Back
Top Bottom