DOKEZO TAMISEMI tufahamisheni, lazima Mtumishi alipie fedha ili apate uhamisho?

DOKEZO TAMISEMI tufahamisheni, lazima Mtumishi alipie fedha ili apate uhamisho?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sijaelewa point yakemaana me najua kwa sasa kuna tovuti ile ya watumishi portal mahususi kwa ajili ya kubadilisha vituo kila kitu online
Huo mfumo umeanza sahizi ila kuna tuliomba uhamisho muda mrefu na majina hawayatoi wakipigiwa simu kauli ni moja kua majina yanatoka hivi karibuni lakini miezi inakatika ila watu wakizunguka mgongo wa nyuma wanapewa vibali .Kiukweli inaumiza sana
 
Mkuu me mbona siwaelewi nachojua kwa sasa uhamisho ni online unafanyika kupitia
Employee self service mfumo huo unaupata kupitia ess.utumishi.go.tz....ukifanikiwa unasubiri tu barua yako...sasa hizo hela mnaombwa kwenye hatua gn ktk mchakato
Mfumo wa hovyo hata ukimpata wa kubadilishana nae hamuwezi Kuonana.
 
Back
Top Bottom