Huo mfumo umeanza sahizi ila kuna tuliomba uhamisho muda mrefu na majina hawayatoi wakipigiwa simu kauli ni moja kua majina yanatoka hivi karibuni lakini miezi inakatika ila watu wakizunguka mgongo wa nyuma wanapewa vibali .Kiukweli inaumiza sana
Hakuna kitu cha bure kwenye hii dunia, unazani huu umbeya wako utakusaidia kwa chochote, kama unataka kuhama lazima uongee herufi kubwa kama hutaki endelea kuota magaga huko vijijini.
Mkuu me mbona siwaelewi nachojua kwa sasa uhamisho ni online unafanyika kupitia
Employee self service mfumo huo unaupata kupitia ess.utumishi.go.tz....ukifanikiwa unasubiri tu barua yako...sasa hizo hela mnaombwa kwenye hatua gn ktk mchakato