instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Kwa huu mtaàla mpya hakuna haja ya Wanafunzi kukesha sana shuleni na content za T/L, huu mtaàla unamruhusu mwanafunzi kuwa na maarifa zaidi ya Yale anayoyapata shuleni, kwahyo mtoto anaendelea kujifunza akiwa katika mazingira yyte Yale iwe nyumbani au shuleni. Tuwape wanafunzi nafasi waendelee kupata maarifa mbalimbali inje ya mazingira ya shule.
Tunaomba wanafunzi warudi nyumbani wapumzike huku waki share studies mbalimbali za kimaisha, huu mtaàla mpya ulioboreshwa si mtaàla wakukariri kwasababu unapima ufahamu ni competence based curriculum.
WALIMU TUACHE ULEVI TUWE NA KIASI