molwe
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 425
- 456
Hakika omenena vema... Jamanii tunaomba viongozi wa hii Wizara watusaidie!!!! Tunachojua siku za kusoma zimepangwa ...na siku za mapumziko ndio maana zimewekwaa!! Watoto wanahitaji kupumzika na kujifunza stadi nyingine za maisha nyumbani. Weekend, likizo zote watoto lazima waende shule na wasipoenda walimu Wana wa lable na kuwaadhibu... Hivi kwanini hii Elimu ya sasa imekuwa adhabu Kwa watoto? Tunahitaji kuwafundisha wetu kazi za nyumbani, mashamba I na hata ufugaji... Inatia uchungu sana