instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Walipeni walimu pesa za maana nyie maCCM waache kuwatumia wanafunzi kama vitega uchumi.Aisee umenena jambo nzur, kuna Walimu wanakaa kabsa wanapiga hesabu za kupiga laki 5 laki 5 kwa kuwaweka watoto mashulen kipind cha likizo pesq ya tushen
🤣🤣 Poa mkuuWalimu wamesikia
🤣🤣 PoaWalimu wamesikia
Mwalimu usiangalie Hela angalia maarifa ya mtotoWalipeni walimu pesa za maana nyie maCCM waache kuwatumia wanafunzi kama vitega uchumi.
Mm sijawah na sitawah kuwa mbogambogaWalipeni walimu pesa za maana nyie maCCM waache kuwatumia wanafunzi kama vitega uchumi.
Mkiacha kutunga mitihani na kugrade pass mark wanafunzi watarudi nyumbani kupumzika, lakini kwa style hii ya necta kupima uwezo wa mwanafunzi kwa mitihani ya kumaliza shule hiyo mitaala mipya haitaweza kutuliza wazazi na walimu kuwakaririsha watoto au wanafunzi waoKwa huu mtaàla mpya hakuna haja ya Wanafunzi kukesha sana shuleni na content za T/L, huu mtaàla unamruhusu mwanafunzi kuwa na maarifa zaidi ya Yale anayoyapata shuleni, kwahyo mtoto anaendelea kujifunza akiwa katika mazingira yyte Yale iwe nyumbani au shuleni. Tuwape wanafunzi nafasi waendelee kupata maarifa mbalimbali inje ya mazingira ya shule.
Tunaomba wanafunzi warudi nyumbani wapumzike huku waki share studies mbalimbali za kimaisha, huu mtaàla mpya ulioboreshwa si mtaàla wakukariri kwasababu unapima ufahamu ni competence based curriculum.
WALIMU TUACHE ULEVI TUWE NA KIASI
Huyu ananiambia mm Mkuu.Mm sijawah na sitawah kuwa mbogamboga
Mitihani pia inazingatia mtaàla mpyaMkiacha kutunga mitihani na kugrade pass mark wanafunzi watarudi nyumbani kupumzika, lakini kwa style hii ya necta kupima uwezo wa mwanafunzi kwa mitihani ya kumaliza shule hiyo mitaala mipya haitaweza kutuliza wazazi na walimu kuwakaririsha watoto au wanafunzi wao
Ni tafadhali sio tafadhari mwalimu.Jamii forum leaders tafadhari naomba huu Uzi uwafikie wahusika
Ni nje na sio inje mwalimu.Kwa huu mtaàla mpya hakuna haja ya Wanafunzi kukesha sana shuleni na content za T/L, huu mtaàla unamruhusu mwanafunzi kuwa na maarifa zaidi ya Yale anayoyapata shuleni, kwahyo mtoto anaendelea kujifunza akiwa katika mazingira yyte Yale iwe nyumbani au shuleni. Tuwape wanafunzi nafasi waendelee kupata maarifa mbalimbali inje ya mazingira ya shule.
Tunaomba wanafunzi warudi nyumbani wapumzike huku waki share studies mbalimbali za kimaisha, huu mtaàla mpya ulioboreshwa si mtaàla wakukariri kwasababu unapima ufahamu ni competence based curriculum.
WALIMU TUACHE ULEVI TUWE NA KIASI
Kwa hivyo, competence based curriculum haitaki mwanafunzi asome sana? Inamaana f4 ya competence based itatoa div 1 zote?Kwa huu mtaàla mpya hakuna haja ya Wanafunzi kukesha sana shuleni na content za T/L, huu mtaàla unamruhusu mwanafunzi kuwa na maarifa zaidi ya Yale anayoyapata shuleni, kwahyo mtoto anaendelea kujifunza akiwa katika mazingira yyte Yale iwe nyumbani au shuleni. Tuwape wanafunzi nafasi waendelee kupata maarifa mbalimbali inje ya mazingira ya shule.
Tunaomba wanafunzi warudi nyumbani wapumzike huku waki share studies mbalimbali za kimaisha, huu mtaàla mpya ulioboreshwa si mtaàla wakukariri kwasababu unapima ufahamu ni competence based curriculum.
WALIMU TUACHE ULEVI TUWE NA KIASI
Mtaàla wa sasa unapima umahiri.Kwa hivyo, competence based curriculum haitaki mwanafunzi asome sana? Inamaana f4 ya competence based itatoa div 1 zote?
Hahahaa AsanteNi nje na sio inje mwalimu.
Sahzi unasahisha grammar tu mkuu.Ni tafadhali sio tafadhari mwalimu.
Samahani sana kwa huo mkanganyiko comradeMkuu umeandika nini,hujui matumizinya hii alama :? Ulivyo andika Tamisemi : maana yake hii ikauli imetolewa na Tamisemi, Mimi nimekuja mbio nikijua kuwa Tamisemi imetoa kauli,kumbe na wewe unaiomba Tamisemi.
Sasa ungeandika,tunaimba Tamisemi,nk
WASANIII MKUUUKwa huu mtaàla mpya hakuna haja ya Wanafunzi kukesha sana shuleni na content za T/L, huu mtaàla unamruhusu mwanafunzi kuwa na maarifa zaidi ya Yale anayoyapata shuleni, kwahyo mtoto anaendelea kujifunza akiwa katika mazingira yyte Yale iwe nyumbani au shuleni. Tuwape wanafunzi nafasi waendelee kupata maarifa mbalimbali inje ya mazingira ya shule.
Tunaomba wanafunzi warudi nyumbani wapumzike huku waki share studies mbalimbali za kimaisha, huu mtaàla mpya ulioboreshwa si mtaàla wakukariri kwasababu unapima ufahamu ni competence based curriculum.
WALIMU TUACHE ULEVI TUWE NA KIASI